Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

_47175681_angolagoal.jpg


Ghana's Goal
hilo bao lilikuwa tamu sana coz ni pasi moja tu kutoka kati ya uwanja then mtu anakimbiza na kupiga goli, duh nimemkubali Gyan
 
haya wenyeji hao nje ya mashindano, ngoja tucheki na wakina drogba watafanya nini
 
Angola wanapendelewa kwa sababu ndio waandaaji wa haya mashindano hata qualification yao ilikuwa na kasoro pale walipowafanyia ubaya Malawi.

Kumbe na wewe uliliona hilo. Ukweli Refa alikuwa biased to the maximum. Na kama Ghana wasingekuwa makini basi kulikuwa na penalty inatafutwa. Ila Young black stars wamecheza mpira makini ulimnyima refa mwanya wa kutoa penati.
 
safi sana... Ghana kids wameonyesha maana ya compact football!!! na hawa angola warudi wakasuke nywele zao maana ndicho wanachoweza
 
duh hawa Ivory coast wameanza na kasi inayotihsa kidogo, dakaki ya 4
Ivory coast 1- Algeria 0
 
Imagine the possibility of Algeria playing Egypt in the semi-final!
 
Keita goal! Ivory coast 2 algeria 1 it is 89th min.
 
Extra time where was a marking for Ivory Cost?
 
Extra time where was a marking for Ivory Cost?

huyu kipa wao hafai hata kudakia premier leagues yetu.. hana leadership kabisa kwa defenders wake na kila kross kwake inakua hatari kwasababu hachezei kumi na nane yake hiyo inawafanya kucheza kama hawana defense, lakini kosa kubwa ni la kipa kushindwa ku-manage eneo lake

sh!t
 
Khe khe Invisible upo? Sikukuona kwenye Arsenal Thread leo, vipi umemaliza Teachers ngapi?
 
Back
Top Bottom