Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hujamsoma theki hapo juu?Mmm kweli sio leo, ila kama kwa sasa anaimba vilevile alivyoimba jana
Ubunifu umepungua sana kwa Mr. Domo
hata chriss brown sio nyimbo zote anazotoa zinabamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujamsoma theki hapo juu?Mmm kweli sio leo, ila kama kwa sasa anaimba vilevile alivyoimba jana
Ubunifu umepungua sana kwa Mr. Domo
Kwa hiyo unataka aporomokee auu???muombee ushindi tu sio mabayaa
Nimesikiliza Ngoma aliyomshirikisha Inyaya wa Nigeria pia sio mkali kiviile.Lakini pia sio nyimbo zote anazotoa chriss brown huwa zina bamba.
Mkuu umeuaHii picha anaonekana kajengeka juu (sehemu ya kifua na tumbo) chini njiti (vimiguu vyembambaaaaaaa) awafate wataalam wa mazoezi wamuelekeze.
Kaunginishe nguvu na Ustaadh Abdallah labda hivi sasa dua zenu zinaweza kutimia manake mwenzako alikuja na dua kama hizi miaka miwili iliyopita lakini badala ya kushuka, ndo kwanza akapanda!!Wakuu sishabikii ,ila I predict nyimbo zote zinazokuja za Diamond Platnumz hazitahit tena,Katoa wimbo unaitwa Kitorondo,nimesikiliza but kaimba rubbish ukifananisha na ''My number one''count one me hakutakuwa na wimbo mzuri na utakao mjulisha Diamond kimataifa kama ''My number one remix"now atafunikwa hata na wasanii wa kawaida wa hapa bongo.NB:ASIMDHARAU ALIKIBA WOTE WANAFANANA TU
Nini Chris Brown, hata huyo Michael Jackson au Rashid Kalindende aka R Kelly si kwamba kila ngoma walizokuwa wanatoa zilikuwa zinabamba!Hujamsoma theki hapo juu?hata chriss brown sio nyimbo zote anazotoa zinabamba
Dua la kuku....
sio leo hiyo
Watanzania hapana wanadamu kuna ambao hawapendi kuona flani akiwa pale.Ila lazima heaters wawepo ili watu wafanikiwe,ukiona watu hawapondi unachofanya hata kama ni kizuri jua something is wrong.
Binafsi Kitorondo Naupenda Vibaya sana kuliko hata hiyo Number one ,Yaani Umenibamba kinoma Kijana yupo Juu lazima Utafute soko kwa Watu wa Aina zote ,Wa Nje ya Mipaka , Wa Masaki , Na sisi Wa Mwananyamala + Mtogole hiyo ndio Biashara , Vannesa Mwenyewe Kashituka katoa wimbo wa Mipasho sasa hata sisi wa Mwananyamala Tunamsikiliza ...Diamond Mungu akuzidishie Uzidi Kusimama Imara Mtoto wa Bi Sandraaa
Hahaaa umeona eeh
Ndio maana Pokello anapenda slogan yake "haters will become believers"