Anguko la Makonda

Ni majungu tu hayo, Makonda hakuwahi kufukuzwa kazi au kutumbuliwa

Aliachia kiti akagombee ubunge ambako kura hazikutosha

Makonda atarudi tu
Labda atarudi kwenye familia yenu lakini si utumishi wa umma hafai mbinafsi na mtumia madaraka vibaya sana
 
Your browser is not able to display this video.
 
DAB kama hajapima HIV aende akapime kwa sababu alikua ni pika na kupakua na waathirika wa bongo movie kajala na Batuli

wazazi wa Makonda kuna kipindi walikua wana filial kwa kajala pindi waendapo Dar
 
Waziri mtarajiwa akipewa ubunge wa kuteuliwa kwanza.
 
Madam president atajikaanga kama atamteua makonda nafasi yoyote, yule ni mpuuzi hafai kupewa nafasi yoyote kwenye hii nchi, makonda ni mgonjwa wa akili
 
DAB kama hajapima HIV aende akapime kwa sababu alikua ni pika na kupakua na waathirika wa bongo movie kajala na Batuli

wazazi wa Makonda kuna kipindi walikua wana filial kwa kajala pindi waendapo Dar
Unauhakika kajala kaathirika? Hayo mambo ni magumu
 
Was once the ring leader of the dreaded Death Squad created by the former departed Head of State John Magufuli to eliminate his political foes.

Today the disgraced Makonda, after the sudden demise of his protector, has completely lost the ground to stand on.
 
Sasa hivi imebaki stori maana enzi zake zimeshafikia ukomo.
 
Bashite anaulaje tena hali alishaibomoa cv yake.Bashite ukimsaidia na akishapata atakacho ni lzm akunyee.
 
Bashite anaulaje tena hali alishaibomoa cv yake.Bashite ukimsaidia na akishapata atakacho ni lzm akunyee.
Ni ngumu sana kuula kwanza kuna bifu kubwa sana yeye na familia ya jk aliizalilisha sana na mkumbuke kwa sasa ushauri na mwongozo kwa mama unatoka kwa jk hivyo naona anavyozidi kupotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…