mkalamo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 340
- 359
Labda atarudi kwenye familia yenu lakini si utumishi wa umma hafai mbinafsi na mtumia madaraka vibaya sanaNi majungu tu hayo, Makonda hakuwahi kufukuzwa kazi au kutumbuliwa
Aliachia kiti akagombee ubunge ambako kura hazikutosha
Makonda atarudi tu