a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,456
- 1,459
Embu lete ushahidi ni wapi nimesema Kauli ya Magufuli haijaathiri chochote.Hamuwezi kutetea ''legacy' ndio maana hamna majibu mnapoulizwa maswali rahisi sana
Umesema kauli ya JPM kuhusu kasakazini wasubiri haikuathiri chochote kwasababu alikwenda mara 4 kuzindua miradi. Hukutaja miradi kwasababu unajua wazi miradi aliyozindua ilianza na awamu ya Kikwete. Mfano mmoja ni barabara ya EAC na Mradi wa maji Arusha
JPM hakuanzisha mradi wowote safari zilikuwa kudandia miradi ya awamu ya 4
Rais wa nchi hawezi kuwaambia wananchi na walipa kodi wasubiri katika maendeleo yao.
Rais alipaswa kuwahimiza akiwataka wengine waige mfano! siyo kuwasumanga na kuwananga
wanaotafuta maendeleo yao
Kauli ya JPM dhidi ya watu wa kasakazini ilikuwa irresponsible, pathetic, loathe some ikiwa imefungwa kwenye mfuko mkubwa wa Hate. Amechonganisha Taifa kwa ukanda na hiyo ni legacy yake.
Pili,nilikuuliza kitu gani JPM alifanya ambacho Watangaulizi hawakufanya, hukuwa na jibu.
Well , jibu lake ni HAKUNA
Mifano michache; Magufuli hakujenga hata sentimita (cm) moja ya reli. Kama ipo itaje
Mpango wa kuhamia Dodoma ulikuwepo ! unakumbuka CDA?
Sina uhakika kama kuna barabara mpya chini ya utawala wake, kama ipo itaje
Narudia hakuna kitu kipya hata kimoja alichofanya! pengine alifanya kwa kasi lakini si upya
Need I say more?
Nimekuambia Vitendo vyake vimesahihisha kauli yake. Sio vile unavyodai wewe.
Mbona nimekubaliana nawe kwa wazi kabisa kuwa Wavivu wa Kufikiri na Waliojaa Fikra Potofu na wenye Upeo mdogo wameitafsiri vibaya kauli hiyo.
Ushaanza kulisha watu maneno.
Kama ni Kasi basi ndio Ukuu wake huu. Lakini hatupo kusema nani ni bora zaidi ya mwingine. Mimi nasemea Ukuu wa Magufuli. Hope Ukarabati wa reli ya Kaskazini ulianza na Mkapa.