CAG Assad katueleza 1.5T hazijulikani zilipo, atakuonyesha nini?
CAG Kichere katueleza, Bilioni 70 zilikwenda Mwanza, hajui ni kwanini. Aeleze nini?
Mtuhumiwa ana dhima ya kuthibitisha uongo wa tuhuma, kwanini JPM amefariki hakuwahi kutueleza zilipo na sasa hivi hakuna anayetuambia B 70 zipo wapi
Waliofanya kazi na Magufuli wapo bado serikalini, Kichere au wewe utuhojie hao waoneshe 1.5 T zilipo, maana wengine bado tunaona Tuhuma zenu ni Propaganda.
Unakosea! pesa za umma hazifungwi kwenye mabunda. Zinaweza kuwa katika namna tofauti
Usitegemee kuona mabunda, kama zipo kwenye account bado ni account isiyofikika na kila mtu.
Unachelewa sana kuelewa.
Sijasema zinaonekana kwenye mabunda au bank. Tunaziona kupitia nyendo zao kiujumla wake na marafiki zao.
Kwamba kuwe na acc ambayo hata walioifungua washindwe kuifikia? Hizo bado zinabaki kuwaFikra za KUSADIKIKA.
Taasisi kama Ikulu haikaguliwi na CAG sasa unawezaje kuona transaction?
Kumekuwepo na malalamiko kuhusu Ikulu kutokaguliwa na CAG kwa awamu zote !
Umma hautegemei CAG pekee kujua ufanisi wa Taasisi ya Serikali. Hata CAG akinunuliwa, bado Umma unaweza kuwa na jicho huru la kuona.
JICHO HILO NDILO LINALOKATAA HOJA ZA UFISADI WA MAGUFULI.
Viongozi waliopita wengi waliimbwa ufisadi mpaka sokoni, Leo kapayuke hivyo juu ya Magufuli uone jicho la Umma kwake.
TUMEKATAA UNAFIKI WENU.
Nadhani ulikusudia kusema ''ZINAKUDHALILISHA'' kama hiyo ndio maana yako nitakujibu kama siyo samahani. katika kiswahili hakuna neno 'kudharirisha'' unless ni jipya
Vioja hivi.... Hakuna mkamilifu katika lugha humu. Usikimbie hoja kwa kuleta vioja.
Ukarabati ( maintanance ) inalenga kutunza au kuhifadhi kilichopo. Kuna ukarabati wa kawaida halafu upo wa kuhuisha ( improvement).
Ukarabati wa kuhuisha huwa na ongezeko la kitu zaidi ya kilichokuwepo.
Usihangaike sana ndugu, CHUTAMA.
Ujenzi (construction) unalenga katika kupanga , kufanya tathmini na kueleza mipango inafanyikaje
Kwahiyo unataka kusema Ukarabati hauna Tathimini? Hauna mipango? Umetokea wapi aisee?
Yes, ukarabati unafanyika na mfano mzuri ni Barabara ya Chalinze Segera.
Miaka ya karibuni kampuni ya Kamphil ilipewa tenda ya kukarabati barabara hiyo ikiwa ni pamoja na kurekebisha madaraja na daraja la Wami linalotumika sasa ni mojawapo
Baada ya Uhuru barabara ya Chalinze-Segera haikuwepo. Nyerere aliijenga
Ujenzi (construction) ulianza na Feasibility studies ikiwa ni kuanza na wazo, kulitathmini, kuandaa mipango na kulitekeleza na mwisho tukawa na barabara.
Katika Lugha ya Kiswahili hakuna tofauti hiyo ya msamiati wa Kujenga na Kukarabati.
Usidanganye. Katika Ukarabati kuna Ujenzi sawa na kwa maradi mpya.
Tusihangaikie vihoja vidogovidogo.
Kwa maelezo hayo, Rais Ali H Mwinyi alifanya UKARABATI wa barabara ya Chalinze-Segera
Rais JK Nyerere ALIJENGA ( construct) barabara ya Chalinze-Segera
Sasa ona unavyojichanganya, Yaani Mwinyi awe amekarabati, halufu JK awe amejenga kwa tafsiri hiyohiyo yako.
Kumbe u Team Msoga.
Kwa maelezo hayo ya ukarabati na ujenzi , chuki ipo wapi? au kuuliza wapi JPM kajenga ni chuki!
Unalazimisha dhana isiyokuwepo na hoja isisiyo na msingi. Tunachokuambia iwe amekarabati au amejenga, hoja kuu NI MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA. Wewe umeshikilia hakujenga amekarabati, hapo ndio tunapoona CHUKI YAKO.
Unatakiwa kutetea au kubomoa hoja, usihangaike na messenger hangaika na message.
Hoja hutafsiri aina ya messenger, usinizuie kufichua umbo lako sahihi. Je, umesahau?
Sijaishiwa hoja, JPM alichofanya ni kukarabati (maintanance) reli ya kati na kuifanyia mahuisho (improvement).
Reli ya Kati MGR ipo kama ilivyo, na imekarabatiwa pia na Magufuli.
SGR inajengwa alongside ya hiyo MGR na kuwepo kwa proposal za kufika Burundi,Rwanda ikiwezekana Uganda.
Hatujawahi kuwa na SGR ya kukarabati njia ya Dar-Mwanza,Dar-Kigoma.
WASHAURI WIZARA HUSIKA WABADILI NENO UJENZI WA SGR KATIKA MRADI. Pole sana, unaumizwa na kodi zako kutumika kwa faida yako. U wa ajabu sana.
JPM angeimarisha reli ya kati tu ingalikuwa 'repair au maintanance' kwavile ameihuisha kwenda SGR ikitumia umeme hapo amefanya improvement kwasabau kuna added value katika reli liyokuwepo.
Hiyo added value imekuwa Constructed ili kufikiwa.
Yaani usipokuwa na hasira au matusi nitakufahamisha vitu vingi kwakweli
Ni kweli unajua Vingi sana, natambua hilo. Shida IPO katika Tafakari yako, heri ya wavijuavyo vichache.
Imekarabatiwa kwasababu hakukuwepo na Feasibility studies''
Unayatoa wapi haya? Hivi unafikiri sisi tuko wapi?
Yaani Tilioni kadhaa zikose Upembuzi Yakinifu?
imefuata njia ile ile iliyokuwepo kukiwa na mabadiliko ya madaraja au ''landscape' ili kuhimili mfumo wa SGR na umeme
Muongo ndugu, hakuna daraja lililobadilishwa. Wala hakuna taruma la MGR lililong'olewa.
Ni reli mpya kuanzia Tuta mpaka hatua ya mwisho.
Hauko Bongo unalishwa uongo huko ulipo, au kama upo Bongo basi wewe ni mzembe kutokujua haya.
Yes ukarabati ni jambo jema. Tulizuia ujenzi wa bandari ya Bagamoyo
Ndio Tulisimamisha. Hasa kwa ujanjaujanja wenu katika mikataba kuumiza wananchi.
Hatukupewa mkataba tuuone, lakini uzoefu wa nyuma unatuonesha utapeli wenu.
Kumbuka Gas ya Mtwara ilisemewa na Magufuli kuwa sio Yetu, Samia nae anerejea mlemle. Hilo linaongeza shaka Juu yenu Team Msoga na miradi yenu.... Ina harufu ya Upigaji.
Ndugu yangu haya yalikuwa ya JK.
ACHA UONGO NA POROJO. Jisikie aibu kidogo.
Ukarabati. Halafu uwe muangalifu maana ukitaja KM 50 sijui kwa Julius Nyerere tutasema nini
Wewe ulitaka kuoneshwa hata sentimita moja, sasa unahamisha magoli.
Ndiyo maana tunauliza kodi zetu 1.5T na 70 B zipo wapi?
Hivi si JPM na MSD umesikia madudu yake!
Kamuulize Ummy aliliambia nini Binge juu ya Ufanisi wa MSD katika awamu ya Tano. Mengine yababaki kuchafuana tu.
huko TANROAD ! yaani ni kama usikie kampuni ya IT inajishughulisha na ununuzi wa Korosho.
Mimi sioni ajabu, kama tu Tija na Ufanisi utakuwepo. Kumbuka Mimi sio muumini wa Formalities za ajabuajabu.
By the way ya korosho vipi!
Mwaka wa Jana Tulimkumbuka Magufuli kwa kilio tena. Sauti ya wanunuzi ni kubwa kuliko ya serikali..... Mbaya zaidi kuna Tuhuma za Team yako kuchangamkia dili la wamarekani, kwa kuwanyonga RAIA.
Nipo huku tangu 2015, hakuna mwaka Korosho ilinuliwa bei ndogo kama msimu wa mwaka wa jana.
Bibi anasema, Mwamba angekuwepo haya yasingetokea.