Anaponda waliopingana na Magufuli halafu mnataka yeye asipondwe?. Mama mnafiki Sana.
Inakuhusu nini wewe mswahili wa manzese?Huyu bibi ni mjinga sn, kwa umri wake kuhangaika na mawigi kama vile yupo F2 ni aibu kwa taifa, je hao mawaziri sahivi wapo Dodoma au Dar? kuhamia Dodoma ndiyo kumaliza shida za wananchi?
Unatiwa choko wewe, unadhani kila mtu ni shabiki wa vyama vya siasa.Lini mtahama Ubelgiji?
NImepiga kwenye mshonoInakuhusu nini wewe mswahili wa manzese?
Mshono aliokutatua Amsterdam?NImepiga kwenye mshono
Unaishi nje ya nchi Kwa kuuza malindaUnatiwa choko wewe, unadhani kila mtu ni shabiki wa vyama vya siasa.
Kuishi nje ya nchi ni maamuzi ya mtu binafsi, nina miaka 25 nje ya nchi na bado na-hustle hivyo aliyeenda juzi kati tu hapa aendelee tu kama ndiyo mazingira mazuri kwake na familia yake.
MumeoMshono aliokutatua Amsterdam?
Acha kaziHakika, Dodoma ni usumbufu...
Mumeo AmsterdamMumeo
Acha tabia za watu wa upindeHuyu bibi ni mjinga sn, kwa umri wake kuhangaika na mawigi kama vile yupo F2 ni aibu kwa taifa, je hao mawaziri sahivi wapo Dodoma au Dar? kuhamia Dodoma ndiyo kumaliza shida za wananchi?
Ofisi zipo DODOMA kwaio unatakiwa kuwalaumu hao kama hawakai ofisini kutatua kero za watanzania wapo huko Dar wanafanya nini.Sio kumlaumu mtu aliyeamua kutekeleza issue ya kuhamia sehemu ambapo serikali inabidi iwepo.Jibu swali: serikali kuhamia Dom ndiyo kumaliza matatizo ya wananchi au tumeongeza gharama za uendeshaji? sahivi Waziri lazima awe na nyumba Dodoma na Dar vinginevyo alipiwe five star hotel na serikali na hapo nje na dereva, katibu wake, msaidizi wake, huoni kama tumeongeza gharama za uendeshaji mara 2 ya mwanzo? muda mwingi Rais na Mawaziri wapo Dar.
Hoja yako imenisikitisha sana kwaio serikali ilitakiwa ibakie Dar kwa sababu mawaziri wanapenda Dar.Idiot1. Yeye anaishi Dar na kwa pesa ya kodi amejenga jumba la kifahari sana Dar! Kwa nini yeye hajahamia Dodoma? Kimsingi kulikuwa hakuna uharaka wa Taifa kuhama Dar wakati kwa miaka 20 hivi serikali na balozi zimewekeza pesa ndefu sana katika miundombinu Dar!
2. Kuhamia Dodoma kwa haraka ni matumizi mabovu katika raslimali za Taifa hili!
3. Hata leo hii kazi nyingi za serikali zinafanyika Dar! Raisi, mawaziri, maafisa bado wanpenda Dar kuliko Dodoma na huo ni ukweli!
4. Mbaya sana kuweka mayai yote katika kapu moja! yaani Dodoma! why? Angalia kwa mfano Afrika ya Kusini Serikali iko Pretoria, Bunge Cape Town na Mahahaka Pietzmarisburg! Sisi tz tunasema kila kitu kiwe Dodoma!
5. Mambo kama ya kuhamia Dodoma kama nchi tulihitaji utafiti, na upembuzi makini, na pia kura ya maoni kwa wananchi wote na sii mtu mmoja kuamka tu na kutumia raslimali za taifa hili changa na maskini kuahamia Dodoma
Tuna jukumu kubwa sana la kuwaelimisha ChademaHoja yako imenisikitisha sana kwaio serikali ilitakiwa ibakie Dar kwa sababu mawaziri wanapenda Dar.Idiot
Una akili sana mkuuOfisi zipo DODOMA kwaio unatakiwa kuwalaumu hao kama hawakai ofisini kutatua kero za watanzania wapo huko Dar wanafanya nini.Sio kumlaumu mtu aliyeamua kutekeleza issue ya kuhamia sehemu ambapo serikali inabidi iwepo.
Huu ujinga kama wako ukiamua unaweza kubadilika it is not too late to accept the situation.
FafanuaBIBI AMEWAGEUKA WENZAKE,SIE WATU WA KIJITONYAMA HUTUDANGANYI KWA HILO,ACHEONI KUTUSUMBUA AKILI ZETU ZINAWAZA SEMBE TEMBELE.
Unamanisha niniBIBI AMEWAGEUKA WENZAKE,SIE WATU WA KIJITONYAMA HUTUDANGANYI KWA HILO,ACHEONI KUTUSUMBUA AKILI ZETU ZINAWAZA SEMBE TEMBELE.
Baba ako, huoni kama ni gharama kubwa mawaziri wanakuwa na ofisi Dar na Dom?Ofisi zipo DODOMA kwaio unatakiwa kuwalaumu hao kama hawakai ofisini kutatua kero za watanzania wapo huko Dar wanafanya nini.Sio kumlaumu mtu aliyeamua kutekeleza issue ya kuhamia sehemu ambapo serikali inabidi iwepo.
Huu ujinga kama wako ukiamua unaweza kubadilika it is not too late to accept the situation.
Kazi ya dingi akoAcha tabia za watu wa upinde