Kassimu alisema serikali inajiuliza nani anapiga kelele? Jibu likamwangukia tics eti kwa sababu kaondolewa hivyo katuma watu waongeeUnafikiri ni tibaijuka!!?
Kuna Elites wa nchi wapo nyuma yake ndio waliomtuma kusema hivyo!!!
Kuna justification inatafutwa ILI kuhalalisha wanachotaka kuhalalisha wao WENYEWE!
Ndio MAANA kuna kelele sana KULIKO kawaida KWA watz tunavoawajua huwa hatukawii kusahau kama uhamisho wa masai kule ngoro ngoro!!
NGOJA tuone hii sandakalwe iliyorushwa hewani nani atapata!!
"Sio mama wala jpm anaejua beacon. Za nchi zilipo,cha msingi mama ajikite katika yale maagizo 33 aliyopewa gaberon room namba 102" de'levis HUMU jamvini!katika MOJA ya michango yake humu!!!Kassimu alisema serikali inajiuliza nani anapiga kelele? Jibu likamwangukia tics eti kwa sababu kaondolewa hivyo katuma watu waongee
Na pangekua kama.ulaya basi tuHuyu Profesa...Milioni 10 pesa ya mboga.
Prof. Tibaijuka alipokuwa madarakani alitaka kuuza sehemu ya Kigamboni kwa mwekezaji, kwa ajili ya Mradi wa Kigamboni New City project.
Magufuli aliufuta mradi.
Ndio mkataba unavyosema au maelezo ya nje uliyopewa ambayo hayapo kwenye maandishii?DPW hatakabidhiwa Bandari zote, wala Bandari yoyote, watakabidhiwa tuu zile Beth za makontena zilizokuwa chini ya Ticks kwenye Bandari moja tuu ya Dar es Salaam, hivyo tutakuwa free kuendeleza Bandari yetu ya Bagamoyo na Mchina.
P
Nilikuwa natafuta sehemu ya 'UNLIKE' nimeikosa kwenye simu yangu ya kitochi, sijui umelipwa kiasi gani kudanganya makusudiDPW hatakabidhiwa Bandari zote, wala Bandari yoyote, watakabidhiwa tuu zile Beth za makontena zilizokuwa chini ya Ticks kwenye Bandari moja tuu ya Dar es Salaam, hivyo tutakuwa free kuendeleza Bandari yetu ya Bagamoyo na Mchina.
P
Tupe andiko.DPW hatakabidhiwa Bandari zote, wala Bandari yoyote, watakabidhiwa tuu zile Beth za makontena zilizokuwa chini ya Ticks kwenye Bandari moja tuu ya Dar es Salaam, hivyo tutakuwa free kuendeleza Bandari yetu ya Bagamoyo na Mchina.
P
Mungu Mwenyezi aingilie katiLeo kasema hivo kwenye kipindi cha Jana na Leo kupitia Wasafi FM radio.
Kiukweli kaongea points Sana Yule mama naamini hata Mungu kamfutia dhambi zake zote.
Moja ya kipengele alichokipinga ni kile cha DP world kumiliki bandari ZOTE za nchi hii.
Pia haturuhisiwi kuendeleza bandari yoyote bila wao kuhusika...
Mengine yanatia hasira na kinyaa. Nilikua nakula nikahisi kushiba ghafla aisee.. kuna Mambo yanaumiza Sana roho Hadi nikajiuliza hivi..
Samia aliwaza nini kuwapa DP world bandari au alishikiwa mtutu??? [emoji848]
Alishasema sana na hajaogopaHapa Tibaijuka anaogopa kusema huu mkataba haufai
TakbirrrrrrrTibaijuka bwabwaja weee had ujinyee ila hapa mgao kama uliokaupata kutoka kwa Rugemalila wa Escrow sahau.
Kinachokuuma ni kukosa maokoto tuh huna lolote
Anapiga spana hatari aliwapa spana wale vibaraka wa Dp pale wasafi hadi wakachanganyikiwaHuyu mama asipologwa sijui !