Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential, tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga!

Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential, tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga!

Hizo ndio akili za darasani sasa.

Sio zile za kufeli fom fooo na kuja kudandia PHD za bure bure.
 
Mpeni maua yake, hata kama alikimbia na yale mafurushi kwenye sandurusi
 
DPW hatakabidhiwa Bandari zote, wala Bandari yoyote, watakabidhiwa tuu zile Beth za makontena zilizokuwa chini ya Ticks kwenye Bandari moja tuu ya Dar es Salaam, hivyo tutakuwa free kuendeleza Bandari yetu ya Bagamoyo na Mchina.
P
Ndg. Pascla unauhakika na hili unalosema? Watanzania hawana imani hata kidogo na Serikali kutokana na uzoefu wa muda mrefu. wakati wa ubinafsishaji wa migodi ya madini tuliambiwa uchumi sasa unapaa. Matokeo yake hata nje tu ukuta wa fensi ya migodi yetu watoto wetu madarasani wanakaa chini. Wakati wa uwekezaji wa gesi asilia tuliambiwa uchumi sasa unapaa na kwamba sisi wazawa uwezo wetu ni kukamua juisi tu, hivyo gesi tuwaachie wenye misuli. Hatujaona matokeo yoyote ya maana ktk gesi. badala tumepiga u-turn kwenda kujenga bwawa ya Nyerere.

Kuna kipindi tulikabidhi uendeshaji wa reli kwa Wahindi tukaambiwa hapa sasa matatizo ya reli kwisha habari yake.

Watanzania wanahitaji kushirikishwa kwa dhati kabisa na kueleweshwa kwa kina. Hawahitaji kuburuzwa.

Nawasilisha.
 
Tweet ya Tibaijuka "Naendelea kuhimiza, kusihi, kushauri na kutumaini kuwa mkataba wa DPW unarekebishwa na mchakato unashirikisha watalaam na wachumi kwani kwa misingi ya kiuchumi Dubai ni mshindani wetu kwenye kuendeleza transhipment potential. Ukimkabidhi bandari zote ni sawa na kujinyonga."

Mama Tibaijuka naona sasa pesa za chenchi ya mboga umevimbiwa nazo umeanza kupata kaujasiri ka kukosoa DP world, hujui huku ni kumuudhi kiongozi wa nchi ?

Naona Profesa Tibaijuka anapingana na mawazo ya wenzake na kama ubavyojua hapo ccm amri ya raisi ni kuiunga tu no way around, ndio maana hata Magufuli aliposema ni mtu mjinga pekee atasaini mkataba wa bandari walitii na leo hii wanaunga mkataba wa milele.

Tibaijuka hawezi kutoboa mwezi huu atapangiwa kazi zingine,
 
STRICTLY TOP DOWN COMMAND...

Kama ni msomi wa vitabu Pro. mwenye akili inayojitegemea, ata 👋🤚
 
Tuondoe elimu ya kikoloni yaani mzungu akiongea ngozi nyeusi akae kimya lazima tuwe na elimu ya Baba akijamba aseme samahani nimejamba lakini elimu hizi za misukule hatuwezi kuendelea ,maendeleo tutasikia Kenya na ulaya
 
Tweet ya Tibaijuka "Naendelea kuhimiza, kusihi, kushauri na kutumaini kuwa mkataba wa DPW unarekebishwa na mchakato unashirikisha watalaam na wachumi kwani kwa misingi ya kiuchumi Dubai ni mshindani wetu kwenye kuendeleza transhipment potential. Ukimkabidhi bandari zote ni sawa na kujinyonga."

Mama Tibaijuka naona sasa pesa za chenchi ya mboga umevimbiwa nazo umeanza kupata kaujasiri ka kukosoa DP world, hujui huku ni kumuudhi kiongozi wa nchi ?

Naona Profesa Tibaijuka anapingana na mawazo ya wenzake na kama ubavyojua hapo ccm amri ya raisi ni kuiunga tu no way around, ndio maana hata Magufuli aliposema ni mtu mjinga pekee atasaini mkataba wa bandari walitii na leo hii wanaunga mkataba wa milele.

Tibaijuka hawezi kutoboa mwezi huu atapangiwa kazi zingine,

Alafu yule mwenye njaa anasapoti huu mkataba.wakati ma profesa wasomi wanajua na washaona hii tumeingizwa cha bubu kabisa
 
kwani kwa misingi ya kiuchumi Dubai ni mshindani wetu kwenye kuendeleza transhipment potential. Ukimkabidhi bandari zote ni sawa na kujinyonga.
Ni sawa na kuwanyonga watanganyika WOTE sio tu kujinyonga
 
Anna anasema ukweli na hana sababu ya kujipendekeza kwa Samia. Anna ni smart sana kuliko Samia.
Sister nazikubali sana hoja zako,ila kwa huyu bibiako umechemka. Hana usmat wowote huyu bibi. Bora akae kimya tu, Watanzania wa leo sio wale wa miaka 47. Kila kitu wanakijua. Mtu smart pia anajulikana na anaweza kuimbwa na WaTz. Sio huyu mama vijisent wa pesa zetu kwenye magunia na mzee wa makengeza.
 
Hapa Tibaijuka anaogopa kusema huu mkataba haufai
Leo kasema hivo kwenye kipindi cha Jana na Leo kupitia Wasafi FM radio.

Kiukweli kaongea points Sana Yule mama naamini hata Mungu kamfutia dhambi zake zote.

Moja ya kipengele alichokipinga ni kile cha DP world kumiliki bandari ZOTE za nchi hii.

Pia haturuhisiwi kuendeleza bandari yoyote bila wao kuhusika...

Mengine yanatia hasira na kinyaa. Nilikua nakula nikahisi kushiba ghafla aisee.. kuna Mambo yanaumiza Sana roho Hadi nikajiuliza hivi..

Samia aliwaza nini kuwapa DP world bandari au alishikiwa mtutu??? [emoji848]
 
Nimependa sana confidence ya huyu mama .aina yake ya uchambuzi wa huu mkataba wa bandari na nimegundua Bado hatuna bunge imara ,kwa uchambuzi wa tibaijuka ule mkataba haukustahili hata kuingia bungeni ..najiuliza Ninini ambacho kimelipiga bunge upofu wakaamua kuunga mkono hili jinamizi? Mkataba huu utamvua nguo spika wa bunge na bunge zima kwa utaratibu huu nchi Bado inadeko!
 
Unafikiri ni tibaijuka!!?

Kuna Elites wa nchi wapo nyuma yake ndio waliomtuma kusema hivyo!!!

Kuna justification inatafutwa ILI kuhalalisha wanachotaka kuhalalisha wao WENYEWE!

Ndio MAANA kuna kelele sana KULIKO kawaida KWA watz tunavoawajua huwa hatukawii kusahau kama uhamisho wa masai kule ngoro ngoro!!

NGOJA tuone hii sandakalwe iliyorushwa hewani nani atapata!!
 
Back
Top Bottom