Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndg. Pascla unauhakika na hili unalosema? Watanzania hawana imani hata kidogo na Serikali kutokana na uzoefu wa muda mrefu. wakati wa ubinafsishaji wa migodi ya madini tuliambiwa uchumi sasa unapaa. Matokeo yake hata nje tu ukuta wa fensi ya migodi yetu watoto wetu madarasani wanakaa chini. Wakati wa uwekezaji wa gesi asilia tuliambiwa uchumi sasa unapaa na kwamba sisi wazawa uwezo wetu ni kukamua juisi tu, hivyo gesi tuwaachie wenye misuli. Hatujaona matokeo yoyote ya maana ktk gesi. badala tumepiga u-turn kwenda kujenga bwawa ya Nyerere.DPW hatakabidhiwa Bandari zote, wala Bandari yoyote, watakabidhiwa tuu zile Beth za makontena zilizokuwa chini ya Ticks kwenye Bandari moja tuu ya Dar es Salaam, hivyo tutakuwa free kuendeleza Bandari yetu ya Bagamoyo na Mchina.
P
Kama ni msomi wa vitabu Pro. mwenye akili inayojitegemea, ata 👋🤚STRICTLY TOP DOWN COMMAND...
Mama Tibaijuka naona sasa pesa za chenchi ya mboga umevimbiwa nazo umeanza kupata kaujasiri ka kukosoa DP world, hujui huku ni kumuudhi kiongozi wa nchi ?
Naona Profesa Tibaijuka anapingana na mawazo ya wenzake na kama ubavyojua hapo ccm amri ya raisi ni kuiunga tu no way around, ndio maana hata Magufuli aliposema ni mtu mjinga pekee atasaini mkataba wa bandari walitii na leo hii wanaunga mkataba wa milele.
Tibaijuka hawezi kutoboa mwezi huu atapangiwa kazi zingine,
Tweet ya Tibaijuka "Naendelea kuhimiza, kusihi, kushauri na kutumaini kuwa mkataba wa DPW unarekebishwa na mchakato unashirikisha watalaam na wachumi kwani kwa misingi ya kiuchumi Dubai ni mshindani wetu kwenye kuendeleza transhipment potential. Ukimkabidhi bandari zote ni sawa na kujinyonga."
Mama Tibaijuka naona sasa pesa za chenchi ya mboga umevimbiwa nazo umeanza kupata kaujasiri ka kukosoa DP world, hujui huku ni kumuudhi kiongozi wa nchi ?
Naona Profesa Tibaijuka anapingana na mawazo ya wenzake na kama ubavyojua hapo ccm amri ya raisi ni kuiunga tu no way around, ndio maana hata Magufuli aliposema ni mtu mjinga pekee atasaini mkataba wa bandari walitii na leo hii wanaunga mkataba wa milele.
Tibaijuka hawezi kutoboa mwezi huu atapangiwa kazi zingine,
wote wanajua tatizo ni kukosa uzalendo kuendekeza tumboAlafu yule mwenye njaa anasapoti huu mkataba.wakati ma profesa wasomi wanajua na washaona hii tumeingizwa cha bubu kabisa
wote wanajua tatizo ni kukosa uzalendo kuendekeza tumbo
Ni sawa na kuwanyonga watanganyika WOTE sio tu kujinyongakwani kwa misingi ya kiuchumi Dubai ni mshindani wetu kwenye kuendeleza transhipment potential. Ukimkabidhi bandari zote ni sawa na kujinyonga.
Zanzibar ipo salamaNi sawa na kuwanyonga watanganyika WOTE sio tu kujinyonga
Tanganyika ishapigwa KITANZIZanzibar ipo salama
Mbaya zaidi naskia kijiti cha mama anaweza kukipokea Mwinyi Jr.Tanganyika ishapigwa KITANZI
Wanasema Machogo yamechukia Bandari yao kuuzwaWatajua wenyewe
Sister nazikubali sana hoja zako,ila kwa huyu bibiako umechemka. Hana usmat wowote huyu bibi. Bora akae kimya tu, Watanzania wa leo sio wale wa miaka 47. Kila kitu wanakijua. Mtu smart pia anajulikana na anaweza kuimbwa na WaTz. Sio huyu mama vijisent wa pesa zetu kwenye magunia na mzee wa makengeza.Anna anasema ukweli na hana sababu ya kujipendekeza kwa Samia. Anna ni smart sana kuliko Samia.
Leo kasema hivo kwenye kipindi cha Jana na Leo kupitia Wasafi FM radio.Hapa Tibaijuka anaogopa kusema huu mkataba haufai