Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Kassimu alisema serikali inajiuliza nani anapiga kelele? Jibu likamwangukia tics eti kwa sababu kaondolewa hivyo katuma watu waongeeUnafikiri ni tibaijuka!!?
Kuna Elites wa nchi wapo nyuma yake ndio waliomtuma kusema hivyo!!!
Kuna justification inatafutwa ILI kuhalalisha wanachotaka kuhalalisha wao WENYEWE!
Ndio MAANA kuna kelele sana KULIKO kawaida KWA watz tunavoawajua huwa hatukawii kusahau kama uhamisho wa masai kule ngoro ngoro!!
NGOJA tuone hii sandakalwe iliyorushwa hewani nani atapata!!