Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential, tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga!

Ni wahuni tu, wamejipunguza hakuna walichojiongeza
 
Ni kweli unalo andika lakini hilo ni kwa faida ya TZ kuliko BP World, yeye antawekeza pesa kubwa improvement na oparation zake ili pesa yake irudi na serikali iendelee kupata revenues, hizo pesa hatuna sisi, huyu dp world atabadili muelekeo wa biashara Tz nzima, atajipanua zaidi na zaidi
 
Hapa kuna wahuni wavaa tai walishakunja mzigo wao na kuutia mfukoni.
 
Yes, DP World amekuja kutukamua milele mpaka pesa zake zirudi, sasa sijui mnashangilia kitu gani hapo?!
 
Yes, DP World amekuja kutukamua milele mpaka pesa zake zirudi, sasa sijui mnashangilia kitu gani hapo?!
Mkataba ni open end kwamba mpaka maendeleo ya patikane na serikali ipandishe revenue yake, maanake wame kabidhiwa milele, na sie tutapata maendeleo milele kwahiyo hamna hasara kwote kwote 'DP world is here to stay' tubadiliki na kupata namna ya kuishi nao kama sehemu ya nchi yetu.
 
DPW hatakabidhiwa Bandari zote, wala Bandari yoyote, watakabidhiwa tuu zile Beth za makontena zilizokuwa chini ya Ticks kwenye Bandari moja tuu ya Dar es Salaam, hivyo tutakuwa free kuendeleza Bandari yetu ya Bagamoyo na Mchina.
P
Siyo vizuri Hata kidogo kutilia shaka Platinum Member wa JF. Lakini, ili kutosababisha kutokea shaka hiyo, Member huyo anatakiwa ajenge hoja zake kwa kuweka ushahidi wa wazi kwa suala nyeti kama hili.

Na hasa member huyo kwa kurejea vifungu vya makubaliano ama mkataba unaohusu jambo hilo itapendeza sana.
 
Waende mbali zaidi. Wafanye itakavyonwapendeza hao wazalendo
 
She is wrong on this one
 
DPW hatakabidhiwa Bandari zote, wala Bandari yoyote, watakabidhiwa tuu zile Beth za makontena zilizokuwa chini ya Ticks kwenye Bandari moja tuu ya Dar es Salaam, hivyo tutakuwa free kuendeleza Bandari yetu ya Bagamoyo na Mchina.
P
Sawa Pasco lakini ionekane kwenye mkataba hao sio wajomba zetu tulishaumwa na nyoka brother huko nyuma

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
DPW hatakabidhiwa Bandari zote, wala Bandari yoyote, watakabidhiwa tuu zile Beth za makontena zilizokuwa chini ya Ticks kwenye Bandari moja tuu ya Dar es Salaam, hivyo tutakuwa free kuendeleza Bandari yetu ya Bagamoyo na Mchina.
P
Kichwa kikishaingia tu....
 
Dada yake karamagi anaupiga mwingi, ni bora angetumia usmart wake kuwaleta maendeleo wana BK kuliko kuwahadaa
Ataletaje maendeleo Bukoba kwa mfumo wa nchi ulivyo?
Akajenge stendi ya mabasi au barabara huko Bukoba....


Yeye amewekeza sana huko Bukoba kuliko watz wengi tu...ana shule mbili kubwa huko Bukoba...na anafadhili shule ya serikali ya Rugambwa kwa vitu vingi....

Ulitaka afanye nini zaidi....
 
Kutetea huu mkataba kazi sana, bora mnyamaze kimya tu.

Hayo maendeleo utayapataje wakati umeshawapa waarabu operation zote wafanye wao milele? kwani wao wajinga wasipeleke profit kwao wawape nyie?!
 
Huu mkataba ulikuwa WA bandari ya Dar yote Ila baada ya kelele naona mbalawa na Dada yake wakajiongeza wakaenda kufanya marekebisho uonekane Ni wa magati Saba tu,
This could be true, kelele zinasaidia!. HGA itakuwa nzuri.
sasa jiulize wakiweka mitambo ya kisasa kwenye hayo magati Saba maana yake Ni kuwa kwenye magati yetu Sisi yatakosa meli na ushindani baina ya serikali na DP utaanza.
Hapana!, hakutakuwa na ushindani kwasababu DPW hatakabidhiwa Bandari yote but only container terminal, hivyo meli nyingine zote tunaendelea kama kawaida.
Yaani Ni mfano unanyumba yako alafu ina flemu za maduka alafu umemkodishia mchaga anakulipa Kodi Ila na wewe una duka lako hapo alafu wateja wengi wanaenda Kwa Mangi Kwa Sababu analugha ya biashara,vitu og, na anapunguzo unadhani utafurahia.
No, hakuna ushindani kama unauza bidhaa tofauti na yeye.
Hapa tunalishwa matango poli kama wanaweza wawekeze pote alafu 70%serikali na 30%Dp na masuala ya ulinzi na Kodi libaki serikalini au watukopeshe hizo pesa hata kama 10t alafu tufunge hiyo mitambo tuwalipe.
It depends on the value of investing unachukua
1. The value of investment
2. Kawanya kwa expected annual net profit
3. Unapata the period of return of investment ndipo mnaamua mkataba uwe wa miaka mingapi, let's say 30 years.

Watanzania tunahitaji kuelimishwa elimu ya mikataba, mbona tumesaini PSA 21 za gesi asili kwenye mikataba ya ajabu sana na hakuna kelele? Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!

Kwenye bomba la gesi la Mtwara, mbona tumesaini mkataba wa ajabu na hakuna kelele? Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!".

Kwanini watu wanapiga kelele kuhusu DPW?
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…