This could be true, kelele zinasaidia!. HGA itakuwa nzuri.
Hapana!, hakutakuwa na ushindani kwasababu DPW hatakabidhiwa Bandari yote but only container terminal, hivyo meli nyingine zote tunaendelea kama kawaida.
No, hakuna ushindani kama unauza bidhaa tofauti na yeye.
It depends on the value of investing unachukua
1. The value of investment
2. Kawanya kwa expected annual net profit
3. Unapata the period of return of investment ndipo mnaamua mkataba uwe wa miaka mingapi, let's say 30 years.
Watanzania tunahitaji kuelimishwa elimu ya mikataba, mbona tumesaini PSA 21 za gesi asili kwenye mikataba ya ajabu sana na hakuna kelele?
Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!
Kwenye bomba la gesi la Mtwara, mbona tumesaini mkataba wa ajabu na hakuna kelele?
Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!".
Kwanini watu wanapiga kelele kuhusu DPW?
P