Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential, tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga!

Acha team madili wauane!!
 
Makada wameshapewa maelekezo ya Party Caucus!
 
Duh!

Nashangaa kidogo kiasi cha uvumilivu ulionao kupoteza muda kujibu lolote mtu kama huyo uliyemjibu.

Ni vigumu kuamini kuwa hujui huyo mtu ni mtu wa aina gani kutokana na anayojaza humu JF tokea ajiunge.
Mtu asiyekuwa na mwelekeo wowote juu ya jambo lolote, na mara nyingi ni kama anasahau na kupingana na aliyokwisha andika kwingine

Mtu asiyekuwa na taaluma yoyote ambayo akieleza jambo lolote linalohusiana na taaluma hiyo utatoka na uelewa wa alichokiandika!

Huyu hata kwenye u'opportunist' hayumo na hata 'uchawa' anaojaribu kuwasogelea wanaona hawafai!
 
Article 6 sub 1 waarabu wamepewa "Exclusive Rights" kufanya mambo yao, na chini ya makubaliano haya, ndio wameshaanza kufanya shughuli zao tangu October 2022.

Ajabu wewe unakuja na ramli zako hapa kudanganya watu wasubiri makubaliano ya mwisho, hayo makubaliano yana maana gani kama waarabu tayari wameshaanza kufanya shughuli zao kwa makubaliano hayo mabovu yaliyopo sasa?

Kama kweli unaamini bado kuna makubaliano mengine yanafuata, basi waarabu waambiwe wasitishe shughuli zao kwenye maeneo ya mradi.

Unakuwa wakala wa shetani, sidanganyiki kwa huku kujipendekeza kwako kwa Samia huku kizazi chetu kikiangamia.
 
Anakera sana, ameamua kumtumikia shetani kwa nguvu zake zote, tena kwa kuita wengine wajinga, wakati yeye ndie hafai kabisa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]duh Mkuu ni wewe kweli umemaliza kwa ku reason namna iyo hapo mwisho?
 
Hujamwelewa Professor.

Ni kwamba DP ana bandari zingine katika pwani ya Afrika mashariki hvyo automatically anakua ni mshindani wa bandari ya Dar
Kama Tanzania ni Mshindani wa Bandari ya Dubai basi Yanga na Simba ni Washindani wa Madrid na Barcelona.
 
Point yake nikusema huu mkataba hautufai sema ametumia tafsida
 
Hujamwelewa Professor.

Ni kwamba DP ana bandari zingine katika pwani ya Afrika mashariki hvyo automatically anakua ni mshindani wa bandari ya Dar
Uzi haujaandikwa hivyo lakini, hili ni sawa maana ana Djibout, Somaliland, Congo, Msumbiji na Angola ama Namibia kama sijakosea. So watakapopata Comission kubwa watazisukumizia huko zaidi.
 
Anakera sana, ameamua kumtumikia shetani kwa nguvu zake zote, tena kwa kuita wengine wajinga, wakati yeye ndie hafai kabisa.
Huwa sisomi takataka za huyo jamaa. Ni kama kusoma zile za Lucas Mwalushamba utegemee kupata wazo la kufikirisha, hupati.
Kwa hiyo huwa napita tu nikiona maandishi yao.
 
Kwa jinsi ilivyo, hii inaitwa " No turning back" serikali ya Mama "imeshazamilia"
 
Anna anasema ukweli,na hana sababu ya kujipendekeza kwa Samia.Anna ni smart sana kuliko Samia.
Nchi hii kuna wakati tunapewa wadhaifu waongoze ili mafisadi watimize matakwa yao.

Mzee wa Mso..ga.. Mungu akulaani
 
DPW hatakabidhiwa Bandari zote, wala Bandari yoyote, watakabidhiwa tuu zile Beth za makontena zilizokuwa chini ya Ticks kwenye Bandari moja tuu ya Dar es Salaam, hivyo tutakuwa free kuendeleza Bandari yetu ya Bagamoyo na Mchina.
P
Mwanasheria P, hii imeandikwa ktk mkataba upi? Maana huu feki hakuna hayo usemayo... Tujue tufute machozi bana🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…