kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Hausafirishwi moja kwa moja kutoka Ethiopia hadi Tanzania, ila Ethiopia watunga kwenye gridi ya Kenya huku Tanzania ikipokelea Namanga kwa gridi pia. Wataalamu wa mambo watafafanua zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hausafirishwi moja kwa moja kutoka Ethiopia hadi Tanzania, ila Ethiopia watunga kwenye gridi ya Kenya huku Tanzania ikipokelea Namanga kwa gridi pia. Wataalamu wa mambo watafafanua zaidi.
Je, umeme kutoka Ethiopia mpaka hapo Kenya tunapochukulia (1500km) haupotei?Ile huo mfano wa Mpesa naona km hauendani na umeme kabisa ! Au mime ndiyo mzito kuelewa!
Nahisi lugha rahisi ni Umeme kutoka Ethiopia tayari umeshafika hadi Namanga kwa upande wa Kenya, kwa hiyo ni rahisi/nafuu kuupeleka mikoa ya kaskazini, kuliko kutoka Rufiji!
Wacha upumbavu wewe still hata tukichukua umeme wa Ethiopia, haiondoi umuhimu wa kuwa na grid mpya kati ya mikoa ya Kaskazini na Rufiji!Ameandika prof. Anna tibaijuka katika ukurasa wake wa X:
UMEME KUTOKA ETHIOPIA (km 1500) HADI ARUSHA UNAKUWAJE RAHISI KULIKO WA KUTOKA RUFIJI (Km 650)?
Taarifa hii ilitushangaza na hata kutushtua wengi. Nikaona nijielimishe kwa wahusika Wizarani. Nikaelezwa umeme utanunuliwa kutoka Station ya kusambaza umeme hapo Namanga kupitia Grid ya Kenya.
Uwekezaji wa transmission line ni wa muuzaji ingawaje ataikomboa kupitia bei itakayokubaliwa. Pili. Siyo sahihi kutegemea chanzo kimoja kwa grid ya taifa.
Pakitokea dharura Rufiji basi nchi nzima inaingia gizani. Inaitwa diversification. Kwa hiyo tuombe serikali ije na tangazo rasmi kuelezea kwa utaalamu zaidi jambo hili la kimkakati na mustakabari wa umeme wa ziada utakaozalishwa kama upo.
Uwe wa vyanzo vya maji au gesi au jua kwa ujumla wake. Usalama wa nishati ni usalama wa taifa.
Soma pia: Rais Samia: Tanzania inayo nafasi ya kuuza umeme nje
My Take:
CHADEMA hawawezi kutambua hili, hawaelewi juu ya udharura unaweza kutupata wakati wowote, Akili zetu zote tukizilaza rufiji, na unfortunately ika burst, ndiyo nchi yote iingie gizani?
Yaani hawa chadema akili zao sijui zipoje, hopeless, hawaoni mambo kwa kina na kwa marefu.
-------
Elimu kwa umma imetolewa?Ameandika prof. Anna tibaijuka katika ukurasa wake wa X:

Ma ccm wana akili za makalioni,Ameandika prof. Anna tibaijuka katika ukurasa wake wa X: