Anna Tibaijuka: Kuchukua umeme kutoka vyanzo mbalimbali nafuu, ni kwa usalama wa Taifa letu

Hausafirishwi moja kwa moja kutoka Ethiopia hadi Tanzania, ila Ethiopia watunga kwenye gridi ya Kenya huku Tanzania ikipokelea Namanga kwa gridi pia. Wataalamu wa mambo watafafanua zaidi.
 
Magufuli alikuwa analijuwa hilo kuwa tutanunua umeme Ethiopia hata baada ya bwawa la Nyerere kukamilika, au ni baada ya fact?
 
hivi huyo mama tiba ni muislamu pia? na je, siku kenya wakiwazimia switch kutokana na ugomvi labda mzuie kenya airways au hata tu mkizinguana kwenye utalii?
 
Je, umeme kutoka Ethiopia mpaka hapo Kenya tunapochukulia (1500km) haupotei?
Kama haupotei ni kwanini wa kwetu upotee kwenye Km 650 tu?
Je, shida ni umbali ama Teknologia inayotumika?
Kama unapotea wao Ethiopia wanafidia vipi hizo gharama mpaka sisi tukashindwa kuzifidia?
Kwanini umeme unaotoka zaidi ya 2000Km uwe nafuu kuliko ule uliopo 650Km? Tena wote ukiwa ni umeme wa maji?
 
Wacha upumbavu wewe still hata tukichukua umeme wa Ethiopia, haiondoi umuhimu wa kuwa na grid mpya kati ya mikoa ya Kaskazini na Rufiji!

Hao wanao-plan hii miradi ya gridi ya Taifa wanapaswa kuelewa lobbying zinazofanyika na hawa wazalishaji binafsi kulazimisha nchi kuuziwa umeme wa bei ghali wa geothermal wa Kenya!

WB si taasisi safi na wakati tunajenga JNHPP tunapaswa ku-modernize national grid transmission pia!
 
Mkakati wa upigaji ili ufanikiwe na usihojiwe hawa jamaa siku zote lazima waseme una uhusiano na usalama wa taifa, kama kawaida! Usalama my foot, ndio leo wameona kuna hatari? Nani anatishia bongo hadi kuwe na mashaka?

Watu wanaiba tu kama kawa na wanaendelea kulindwa na mapolisi na majeshi eti usalama! Washagaona wabongo vichwamaji hamna wa kuhoji, hata hapa JF hardly mjadala utakula wiki 1 tu halafu unaenda kwenye bahari ya sahau, ndio maana sisiemu hainaga aibu na wana ushirikiano wa kichawi kwenye kuiba, kwa viapo!
 
We matakon wkt ccm mnatangaza bwawa likikamilika umeme wa uhakika utakuwepo mpk wa kuuza nje ya nchi mara ghafla umeme unanunuliwa ethiopia via kenya mnatuona watz hamnazo wewe haunaga cha maana zaid ya kuwa msemaji wa chadema na muimba mapambio huna kngne sjawai ona au soma thread yako yoyote nikaambuliamo cha maana ni ww na chadema na propaganda za kuisfia ccm hakuna kngne hiki kzazi cha sayansi na tech hakidanganyki na propaganda
 
Kwahiyo hao Ethiopia hawapati loss ya umeme wanaposafirisha kutoka huko Hadi kwenye hizo station za namanga!!!?
 
Elimu kwa umma imetolewa?

Kwa nini uwalaumu Cdm kabla ya kulaumu wananchi wanaoilaumu Serikali kwa mikakati ya kizinamoto?

Ukiwa chawa uelewe kila wazo la wapunzani siyo wazo linalostahili kulaumiwa, soma na upepo wa raia wanasemaje.
 
Ma ccm wana akili za makalioni,
Arusha, Kenya, zote zipo Kaskazini,
Inakuwa nafuu kutoa umeme kwenye gridi na kuuza Kenya, Ila ni gharama kupeleka huo umeme Arusha"!! Usalama hauletwi na kununua umeme nje, ni kujenga vyanzo mbadala, kwa Arusha, Dar, Mbeya, Mwanza, kunwweza kukawa, na, standby diesel plant, Grid ikifeli, standby inq kick in faster! Sio kwends kununua nje
 
Tanzania inaweza zalisha umeme wa makaa, geothermal, gesi, upepo, solar na maji. Tukitumia vyanzo hivyo ndiyo diversification. Ye prof anaona kwenda kununua umeme wa maji nchi nyingine ndiyo diversification?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…