Ni mnafiki peke yake asiyejua Magufuli alivyoingilia mihimili yote kibabe. Muulize Pasco kilichomkuta baada ya kumuuliza swali kwa nini Rais anaiingilia mihimili mingine.Ref to comment #7!
Jamaa kaifunga mada na wewe umekuja kuweka cement kuikamilisha!
Maneno yanayotoka katika kinywa cha Anna Tibaijuka(mama wa 'hela ya mboga') fisadi aliyevuna mgao wa mabillion ya Escrow, kutoka kwa mhaya mwenzake Fisadi Rugemalila, kamwe hawezi kuwa na kauli ya kumpamba Magufuli.
Si mtu wa kumwamini kwa chochote kutokana na kauli zake tata anazozitoa kila mara apatapo nafasi ya kufanya hivyo.
Lengo lake ni kuipoka saikolojia ya jamii aonekane kuwa yeye ni 'mtu safi' asiye na mawaa katika jamii, wakati mikono yake inanuka ufisadi uliopitiliza!
Mimi hata ule muda wa kumsikiliza huwa sina.
Kama uwezo wa Lissu ni mdogo na sio solution, solution ni nini hasa?Ukiona watu ambao walitakiwa kuwa upande wake kipindi hiki kigumu wanaruka jahazi elewa huyo mtu ni tatizo.
Na wale ambao anawategemea for his rescue wako kimya (jua huyo mtu ni taahira).
Binafsi siku zote nimekuwa nikisema Lissu sio solution; uwezo wake ni mdogo sana.
JF would make you believe otherwise, uhalisia ni kwamba hana uwezo.
Mwenzako aliaminiwa na shirika la umoja wa mataifa akateuliwa kuwa Mkurugenzi mkuu wa shirika la makazi kanda halafu wewe unamuita kilaza?Kubwa zaidi ni kilaza (hana uwezo) kichwani.
Umeulizwa, je hiyo inahalalisha apigwe risasi? Inazuia uchunguzi wa waliofanya unyama huo! Kamati aliyounda imetoa taarifa gani!Ukiona watu ambao walitakiwa kuwa upande wake kipindi hiki kigumu wanaruka jahazi elewa huyo mtu ni tatizo.
Na wale ambao anawategemea for his rescue wako kimya (jua huyo mtu ni taahira).
Binafsi siku zote nimekuwa nikisema Lissu sio solution; uwezo wake ni mdogo sana.
JF would make you believe otherwise, uhalisia ni kwamba hana uwezo.
Siasa za Africa au za Duniani ??! 😳Ndio Siasa yenyewe
Akiguswa shuja mnang'aka kama nyoka. Yule hakuwa shujaa.Ingependeza kama Prof angeyasema hayo kwenye msiba wa Shujaa siyo sasa 🐼
Subiri ruzuku iishe kama kuna chama.Kama uwezo wa Lissu ni mdogo na sio solution, solution ni nini hasa?
1. Kumpinga risasi mchana kweupe, huku CCTV zikiwa zimeng’olewa na kamanda wa polisi kupiga picha ya kawaida ya gari na kuonyesha ndio lilihusika?
2. Kuzuia maslahi yake, Spika mpumbavu kudai hajui alipo Lissu na kudai ni mtoro hadi kuvuliwa ubunge?
3. Kuzuia uchunguzi wa tukio lake la kushambuliwa?
Wahusika wakuu wa huo unyama ni mizoga kwa sasa, solution imetoka mbinguni kabisa hiyo.
Ewaaah. 😂🤷🏿♂️binafsi Anna ni moja ya wale nisio weza kuwaelewa tangu ile pesa aseme tusiwaze sana ni ya mboga.
Kwenye ili andiko lake ameendelea kuthibitisha kitu kimoja wanapambania maisha yao kwanza nasii taifa
Kumjua mtu muongo .Husingizia Marehemu kuwa Marehemu alisemaIngependeza kama Prof angeyasema hayo kwenye msiba wa Shujaa siyo sasa 🐼
Biblia inatufundisha mtu akitia mkono shambani kisha akaangalia nyuma hafai kwa ufalme wa Mungu,aheri angekubali kuacha cheo au kufa kwa ajili ya haki, ona sasa cheo bado anacho? au uhai anao? heri ufarakane na mtawala au binadamu yeyote kwa ajili ya kutenda jambo la haki la kumpendeza Mungu kuliko kuwa mnafki mwisho wako ni kwenye ziwa la moto.Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi.
Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor). Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. MimI nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti. CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege.
Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili" .
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi?
Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.
View attachment 3435096
Kwa ujumla ukiukumbatia uovo wa mwingine nawe pia unakuwa mwovu,dawa pekee ni kujitenga siyo kujali maslahi yako binafsi.Yeye kama Kiongozi huyo Ndugai kwakuwa alikuwa anaona kuwa yupo ktk serikali inayo ongozwa Kwa maelekezo na sio Kwa kufuata Sheria na katiba Alipaswa kujiweka kando ili Aweze kujisafisha na wananchi wasiweze kumuona kuwa yupo katika sehemu ya uovu
Kitendo Cha kuendelea kuitumia serikali Yenye matendo ya uovu na yeye akiwa ni sehemu ya serikali hiyo kama kiongozi mkuu wa muhimili tena akichangia Kwa kiasi kikubwa kikandamiza wengine
Hiyo twit ya Anna tibaijuka haiwezi kumsafisha Abadan
Baada ya Magu kufariki,ni kitu gani cha mfumo kilichobadilika?Magu alikuwa anaendesha nch km familia yake.yule dingi alikuwa na roho mbaya arifu
Ameshakwambia hapo juu, tatizo mfumo unakuelekeza.Ingependeza kama Prof angeyasema hayo kwenye msiba wa Shujaa siyo sasa 🐼
Wengi wachumia matumbo, hawana lolote la kuwasaidia watanzania. Wanajifanya wehu na vipofu ili mkate wao usiingie mchanga.Yeye kama Kiongozi huyo Ndugai kwakuwa alikuwa anaona kuwa yupo ktk serikali inayo ongozwa Kwa maelekezo na sio Kwa kufuata Sheria na katiba Alipaswa kujiweka kando ili Aweze kujisafisha na wananchi wasiweze kumuona kuwa yupo katika sehemu ya uovu
Kitendo Cha kuendelea kuitumia serikali Yenye matendo ya uovu na yeye akiwa ni sehemu ya serikali hiyo kama kiongozi mkuu wa muhimili tena akichangia Kwa kiasi kikubwa kikandamiza wengine
Hiyo twit ya Anna tibaijuka haiwezi kumsafisha Abadan
Nothing, tena wahuni ndio wamekaa jikoni kabisa.Baada ya Magu kufariki,ni kitu gani cha mfumo kilichobadilika?
Kama ni hivyo, anastahili kulaumiwa kwa kulidhalilisha bunge ambalo kazi yake ni kuisimamia na kuishauri serikali.Uliona wapi serilkali inatoa maagizo kwa bunge? Tunawalaumu cdm bure wanaposema kuna shida kwenye mifumo yetuSpika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi.
Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor). Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. MimI nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti. CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege.
Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili" .
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi?
Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.
View attachment 3435096
Nipate muunganiko wa hoja yako kwanza ndiyo niweze kuchangia ninachokifahamu.Ni mnafiki peke yake asiyejua Magufuli alivyoingilia mihimili yote kibabe. Muulize Pasco kilichomkuta baada ya kumuuliza swali kwa nini Rais anaiingilia mihimili mingine.
Pamoja na hizo za kina Rugemalira na Tibaijuka,ni nini kilimzuia Magufuli kuwafikisha mahakamani? Kwa nini aliamua kuwatesa tu kwa kuwaweka kizuizini bila ya kuwafikisha mahakamani ikiwa alikuwa na uhakika na ufisadi wao?
Ni kama tu scandal ya Hayati Lowasa,mtu akifikia mpaka kuhama chama na kusababisha Magufuli kuwa Rais wa kwanza kushinda kwa kura kiduchu tangu mfumo wa vya vingi uanze, mbona hakuwahi kufikishwa mahakamani pamoja na kuundiwa mahakama yao ya mafisadi? Utaona watanzania tunabebwa na vitu tunavyoamishwa na wanasiasa na wanatumia ujinga wetu kutuaminisha vitu, halafu wakiwa kwenye nafasi Na mamlaka ya kushughulikia huingia mitini.
Prof. Assad Aliwezaje kukiuka maagizo kutoka juu?? Uadilifu wake ulikuwa wapi akipokea maelekezo ya kutamka maneno ya kinyama dhidi ya TAL?? angekaa pembeni angekumbukwa kama shujaa. Anyway apumzike atakapo pokelewa. Sote njia yetu ni moja. Tujifunze kuthamini uhai/utu wa mtu mwingine
Rugemalila teamAnna Tibaijuka
@AnnaTibaijuka.
Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?.
Utasemaje hujui alipo? Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi. Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor).
Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. Mimi nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti.
CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege. Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili".
Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi? Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.