kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,624
- 12,206
Kama alichosema mama ni kweli basi kwa ujumla bara la Afrika tutazidi kurudi nyuma. Ila kiongozi wa mhimili utapokeaje maekekezo? Liwalo na liwe, simamia mhimili wako bila kuyumbishwa.
Atleast wewe umefunguka tatizo kuu la msingi ambalo mamlaka makubwa alionayo rais wa nchi na hii ndio changamoto yetu kubwa inaoleta vurugu zote hiziHii kauli ya huyu mama makes very big sense...
1. Na hapa ndipo ushauri wa Askofu Josephat Gwajima alioutoa ktk Press Conference yake na kusababisha kanisa lake kufutiwa usajili kiharamia tu unapopata nguvu na maana. KATIBA MPYA inayolinda maadili ya uongozi..!!
2. Askofu Gwajima alitoa ushauri kuwa wakuu wa vyombo vya dola, mihimili ya dola Bunge na Mahakama; taasisi muhimu kama TAKUKURU, Msajili wa vyama vya siasa, Tume ya Uchaguzi nk kulindwa na sheria na katiba ili kazi zao ziwe secured na tishio la kutenguliwa teuzi zao pale wanapokuwa hawakubaliani na mteuzi (Rais) wanaposimamia maamuzi yao ndani ya taasisi zao kwa mujibu wa sheria na katiba...
3. Ni obvious kuwa, Spika Ndugai kwa maelekezo haya ya kishetani angeweza kuyakataa kabisa. Lakini kwa upande mwingine alipoangalia ufahari na marupurupu ya mapesa ya Uspika, akaona heri kuikanyaga HAKI na badala yake akamsujudia shetani ibilisi na uovu wake....
4. Ndiyo kusema sasa kuwa, kanuni ya asili (natural principle) haitoi excuse kwa kukubaliana na kushiriki kutenda dhambi ile ya jaribio la kutoa uhai wa Tundu Lissu....
5. Utetezi wake Spika Ndugai ulikuwa very genuine kibinadamu, lakini pia alikuwa na option ya kukataa na kisha kujiuzulu Uspika kama ishara ya kutokukubaliana na mipango ile miovu..
6. Kama angefanya hivi, angejijengea heshima kubwa sana kwa wanadamu na zaidi kwa Mungu na huyu Mungu asingemtupa kamwe...
7. Unfortunately, he took very wrong decisions na haya yote yaliyomtokea baadae na yanayotokea sasa ikiwemo kifo chake, watu kushangilia badala ya kuhuzunika ni matokeo ya dhambi ile mbaya kabisa...
8. Wote tuna dhambi, hilo halina ubishi. Lakini tofauti ya kila mmoja wetu sisi ktk dhambi zetu, ni namna tunavyofanya timing ya kuzitubu haraka kabla hazijaanza kutuletea madhara (hukumu)...!!
Msilalamikie ufisadi ikiwa hela mnazihalalisha kuwa ni mali za wengine.Azirudishe kwani zako zile?
Tukumbuke kuwa wapinzani walimkosea heshima marehemu tena bungeni wakati shughuli rasmi zikiendelea.Na kusema toa njee Mnyika nisimuone hapa mpaka wiki ijayo
Toa nje Tundu Lissu
Chezea mtu yoyote ila siyo Ndugai.
Ni maelekezo ya nani?
Aliyetoa hayo maelekezo naye alishatangulia miaka kadhaa sasa nadhani watakwenda kukutana huko mbele ya HAKI na waandae maelezo mazuri kwanini walifanya ushenzi huo. Mtu unapewa maelekezo ya hovyo halafu unayafuata, eti ni maelekezo?! Hiyo haikufanyi ukwepe hukumu. Na huyu Tibaijuka naye awe na akili hata kidogo tu itamsaidia.Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi.
Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor). Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. MimI nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti. CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege.
Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili" .
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi?
Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.
View attachment 3435096
Hasa ndugu yangu Mzee Dr.Bashiru Ally Kakurwa aiseh!apewe TU kwa heshima ya mzee!nna hakika wakubwa wetu wakiamua kufungua vifua vyao tutapoteana
Hapa Tibaijuka ameudhalilisha mhimili wa bunge.Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi.
Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor). Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. MimI nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti. CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege.
Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili" .
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi?
Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.
View attachment 3435096
Yani wale walio kwenye nafasi za kuzuia mfumo kuota sharubu nao wanauogopa mfumo!! Assad aliwezaje?Prof. Assad Aliwezaje kukiuka maagizo kutoka juu?? Uadilifu wake ulikuwa wapi akipokea maelekezo ya kutamka maneno ya kinyama dhidi ya TAL?? angekaa pembeni angekumbukwa kama shujaa. Anyway apumzike atakapo pokelewa. Sote njia yetu ni moja. Tujifunze kuthamini uhai/utu wa mtu mwingine
Kilichobadilika nini?Ingependeza kama Prof angeyasema hayo kwenye msiba wa Shujaa siyo sasa 🐼
Nikikupa elfu 10 ukanunua nyama, kisha baada ya mwaka ikaonekana niliiba laki kwa jirani basi jirani anakuja kukudai wewe elfu kumi?Msilalamikie ufisadi ikiwa hela mnazihalalisha kuwa ni mali za wengine.
Wewe ni mpumbavu mkubwa, Speaker amesema kuwa si yeye, wewe unatumia makalio yako kubisha. Anaweza kumtungia vipi? Kwani wewe ni kipofu? Ina maana wewe na hao wengine hamkujua kuwa Lissu amepigwa risasi 17 na yupo Belgium? WAKATI MWINGINE TUMIA KICHWA CHAKO KUFIKIRI FALA WEWE. Kuna mtu asiyemjua Magufuli na mambo aliyoyafanya ambayo yameturudisha nyuma miaka 50? Acha upumbavu wewe.Allegedly, Tibaijuka hawezi msamehe Magufuli sababu za Rugemalila kuwekwa jela.
Anaweza mtungia uongo wowote bila ya ushahidi wa kuthibitisha.
Salaleh kwa mitusi hiyo; kabla sijakujibu kwani huko kijijini kwenu sasa hivi saa ngapi?Wewe ni mpumbavu mkubwa, Speaker amesema kuwa si yeye, wewe unatumia makalio yako kubisha. Anaweza kumtungia vipi? Kwani wewe ni kipofu? Ina maana wewe na hao wengine hamkujua kuwa Lissu amepigwa risasi 17 na yupo Belgium? WAKATI MWINGINE TUMIA KICHWA CHAKO KUFIKIRI FALA WEWE. Kuna mtu asiyemjua Magufuli na mambo aliyoyafanya ambayo yameturudisha nyuma miaka 50? Acha upumbavu wewe.
Wewe ndiyo unaishi kijijini mno ambapo unafinya finya simu yako kupata vi-wifi vidogo visivyo na nguvu. Acha kupanua domo lako kuongea upuuzi.Salaleh kwa mitusi hiyo; kabla sijakujibu kwani huko kijijini kwenu sasa hivi saa ngapi?
Punguza hasira mkuu.
Wewe ndiyo unaishi kijijini mno ambapo unafinya finya simu yako kupata vi-wifi vidogo visivyo na nguvu. Acha kupanua domo lako kuongea upuuzi.
Sawa MamaUtazaa wewe kwa niaba yake