Anna Tibaijuka: Ndugai aliniambia kwamba suala la Lissu ni “Maelekezo”

Anna Tibaijuka: Ndugai aliniambia kwamba suala la Lissu ni “Maelekezo”

Tumiq akili wewe pimbi ukijifunua tu wahalifu wakina Rostam azizi na wenzie wanakumaliza .....tatizo lako una akili za kuchezea rede na dada zako siyo akili za kijiniasi kuelewa mambo ...wewe ujui kuwa wahalifu wa kiserikali awataki kabisa kumwona mzalendo na adui yao no 1 ni WAZALENDO
Hata huyo mnayetaka tumuone ni mzalendo aliua wakosoaji wake kupitia kundi lake la watu wasiojulikana, usidhani tunamuona wa tofauti sana. Isitoshe alikuja akawa karibu sana na huyo Rostam, usione kama tumesahau.
 
Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi.

Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor). Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. MimI nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti. CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege.

Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili" .

Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi?

Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.

View attachment 3435096
Kiongozi anayejitetea kutofanya kitu sahihi kwa sababu ya "amri kutoka juu" ni mtu asiyeelewa uongozi ni nini. Hakutakiwa kuwa kiongo,i. Hana integrity wala strength of character.

Na huo si utetezi, ni kukubali makosa.
 
Tutamkumbuka JPM kwa vitu alivyofanya lakini ni ngumu sana kmtenganisha na;

1.Kuua upinzani kwa maslahi yake na Ccm(Wizi wa kura ambao haujawahi kushudiwa 2019 na 2020)
Ameasisi kinachoendelea 2024 na kijacho 2025

2.Kuteka na kuua (Samia na Mtandao unapita mule mule)

3.Uvunjifu wa katiba kwa Maslah binafs e.g Kumtoa CAG madarakani bila kufuata utaratibu (Samia na Mtandao unapita mule mule)

Tatizo na kiini chake ni CCM!
Tusitegemee chochote kipya toka kwao kama hawatatoka madarakani,zaidi ya miaka 60 wanaongoza,kuna jipya lipi tutegemee zaidi ya mitandao?
 
Ni
Hata huyo mnayetaka tumuone ni mzalendo aliua wakosoaji wake kupitia kundi lake la watu wasiojulikana, usidhani tunamuona wa tofauti sana. Isitoshe alikuja akawa karibu sana na huyo Rostam, usione kama tumesahau.
Wewe dini gani hata daudi aliua sana tu muhammad aliua sana tu tatizo siyo kuua ...mimi binafsi nataka rais mwenye kuua haswa ..ila anaua watu gani ? Anaua wazalendo na kuwalinda wahalifu au anaua wahalifu na kuwalinda wazalendo ...kosa la JPM NI KUTOKUWAUA WOTE NA KWA HARAKA WALIO STAHILI KUULIWQ ...HIVI MTU KAMA SINGA SINGA UNAMPELEKA MAHAKAMA KUFANYA NINI ...NCHI HII KUNA WATU KAMA 400 AWAKUSTAILI KUISHI
 
Wananchi tuendelee kuzomea mafisadi na mauaji ya fisiemu. Rikifa ringine kesho riperekewe moto hadi yakubari reforms. Haiwezekani mkuu wa muhimili huru aendeshwe kwa rimoti.
Pale kongwa tuendelee kusherehekea.
Bado wazuri hawafi kifo ni kifo.
 
Kama wewe na uanaume wako umeshindwa kupigania katiba na tume huru....then unataka mwanamke afe kisa kusema ukweli?
Kwani katiba Yao ya CCM inasema Nini kuhusu Kuwa mkweli?

"Nitasema ukweli daima,uongo na fitina kwangu mwiko"

Kwahiyo hili huwa wanaliapa kama Geresha?

Ukweli haijalishi utagharimu vipi maisha yako,uwe tayari kusema ukweli hata kama ukweli huo utayagharimu maisha yako kifo
 
Ndio maana mimi huwa sioni faida ya wabunge. Ubunge ni cheo cha hovyo ni kama sehemu ya kuchuma pesa tu.
 
Ingependeza kama Prof angeyasema hayo kwenye msiba wa Shujaa siyo sasa 🐼
Screenshot_20250613-122647~2.png
 
nna hakika wakubwa wetu wakiamua kufungua vifua vyao tutapoteana
Wale walio hai, kama wakitaka kuishi kwa amani ktk nafsi zao, watoe mizigo yote ya madhira iliyoelemea mioyo yao sasa before it's too late...

Hii itawaweka salama baadae itakapotokea Mungu kawachukua na hivyo kwenda salama na amani yao na watu wataomboleza vifo vyao kwa heshima yote..!

Huku watu kushangilia kifo cha Ndugai ni kisharia cha possibility kubwa ya huyu bwana kuwa aliishi na kuteswa sana hatia ya dhambi na makosa mengi aliyoyafanya na MAUTI ikamkuta akiwa hajatengeneza mambo yake kwa kuibwaga chini mizigo aliyokuwa ameibeba nafsini mwake...!!
 
Kila mtu anadai "ilikuwa ni maelekezo".... ila mbona wanayafanya kwa mbwembwe sana, fanya basi kwa upole tuone
 
Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi.

Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor). Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. MimI nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti. CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege.

Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili" .

Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi?

Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.

View attachment 3435096
Hapa ndipo utaona umuhimu wa katiba mpya. Muhimili mmoja unapoingilia Muhimili mwingine. That means Muhimili mmoja hauko huru 🤭🙊🙆🏾
 
Back
Top Bottom