Anna Tibaijuka: Ndugai aliniambia kwamba suala la Lissu ni “Maelekezo”

Kama alichosema mama ni kweli basi kwa ujumla bara la Afrika tutazidi kurudi nyuma. Ila kiongozi wa mhimili utapokeaje maekekezo? Liwalo na liwe, simamia mhimili wako bila kuyumbishwa.
 
Atleast wewe umefunguka tatizo kuu la msingi ambalo mamlaka makubwa alionayo rais wa nchi na hii ndio changamoto yetu kubwa inaoleta vurugu zote hizi
 
Na kusema toa njee Mnyika nisimuone hapa mpaka wiki ijayo
Toa nje Tundu Lissu
Chezea mtu yoyote ila siyo Ndugai.
Ni maelekezo ya nani?
Tukumbuke kuwa wapinzani walimkosea heshima marehemu tena bungeni wakati shughuli rasmi zikiendelea.

Tunapowaonea huruma wapinzani na hulka zao tukumbuke ubinadamu wa RIP Ndugai akiwa katikati ya kazi kichwa kimepata moto.
 
Aliyetoa hayo maelekezo naye alishatangulia miaka kadhaa sasa nadhani watakwenda kukutana huko mbele ya HAKI na waandae maelezo mazuri kwanini walifanya ushenzi huo. Mtu unapewa maelekezo ya hovyo halafu unayafuata, eti ni maelekezo?! Hiyo haikufanyi ukwepe hukumu. Na huyu Tibaijuka naye awe na akili hata kidogo tu itamsaidia.
 
Hapa Tibaijuka ameudhalilisha mhimili wa bunge.
 
Yani wale walio kwenye nafasi za kuzuia mfumo kuota sharubu nao wanauogopa mfumo!! Assad aliwezaje?
 
Msilalamikie ufisadi ikiwa hela mnazihalalisha kuwa ni mali za wengine.
Nikikupa elfu 10 ukanunua nyama, kisha baada ya mwaka ikaonekana niliiba laki kwa jirani basi jirani anakuja kukudai wewe elfu kumi?

Kama ingekuwa hivi si makanisa na misikiti ingetaifishwa. Wauza madawa kibao wanajulikana walijenga misikiti na wameweka wakfu nyumba zao, nazo serikali itaifishe?

Mama Tibaijuka alipokea hela kama mchango wa wadau wa maendeleo ya shule yake, hakuna sheria inayosema ukipewa zawadi utafute chanzo cha hiyo zawadi. Huwezi fungwa kwa kutumia elfu kumi yangu niliyokupa kutokana na kuiiba.
Tumieni common sense.
 
Jamaa naendelea kuwakong'oli tu mmoja baada ya mwingine, hajuii kua na yeye kazeeka naelekea huko huko, poleni nchi ya Amani na upendo
 
Allegedly, Tibaijuka hawezi msamehe Magufuli sababu za Rugemalila kuwekwa jela.

Anaweza mtungia uongo wowote bila ya ushahidi wa kuthibitisha.
Wewe ni mpumbavu mkubwa, Speaker amesema kuwa si yeye, wewe unatumia makalio yako kubisha. Anaweza kumtungia vipi? Kwani wewe ni kipofu? Ina maana wewe na hao wengine hamkujua kuwa Lissu amepigwa risasi 17 na yupo Belgium? WAKATI MWINGINE TUMIA KICHWA CHAKO KUFIKIRI FALA WEWE. Kuna mtu asiyemjua Magufuli na mambo aliyoyafanya ambayo yameturudisha nyuma miaka 50? Acha upumbavu wewe.
 
Salaleh kwa mitusi hiyo; kabla sijakujibu kwani huko kijijini kwenu sasa hivi saa ngapi?

Punguza hasira mkuu.
 
Tibaijuka ni mwanamtandao, pesa za mboga alilipwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…