Anna Tibaijuka: Ndugai aliniambia kwamba suala la Lissu ni “Maelekezo”

Je gharama ya Ndege iliweza kuwa Kama kiasi gani ya kumuaisha lissu Nairobi?.
 
Kila nafsi itamnenea mazuri Lisu mtu innocent kabisa Kwa taifa
 
Je gharama ya Ndege iliweza kuwa Kama kiasi gani ya kumuaisha lissu Nairobi?.
Ndege iliyompeleka Tundu Lissu tundu (air‑lift) kwenda Nairobi ililipiwa kwa thamani ya dola za Marekani 9,200.

Hayo yalitangazwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai, akisema ndege iliyohusishwa ilikuwa imeombewa na mbunge wa CCM, Bi. Salim Abdullah, kwa gharama hiyo ya $9,200 .
 
Mbona ni hela ndogo Sana, hoja ya Tibaijuka ni ujinga tu
 
Hapana! Mama Tibaijuka sikubaliani nawe hata kwa bahati mbaya

Mandela alisema '' Tembo akimkanyaga Panya, nawe ukakaa kimya ukisema upo neutral, elewa ukimya wako ni kukubaliana na anayofanya Tembo''

A.Einstein alisema '' ..dunia haiharibiwi na watendao ushetani bali wale waangaliao bila kuchukua hatua''

Job Ndugai alituaminisha Bunge ni mhimili huru, kumbe alijua ni uongo anapokea maelekezo
Job Ndugai aliunda Kamati ya kuchunguza kupigwa risasi akijua ilikuwa ni feki na hadi anakufa hatukuona ripoti
Job alitangaza jimbo LIPO wazi kwa mbwembwe, leo mnatuambia aliagizwa! mbona alikuwa anajifargua
Job alifukuza Wapinzani ili wakashughulikiwe nje, akitamba na Joho lake na kauli za dharau na kejeli
Job Ndugai akattueleza sheria feki za kuwakinga COVID, hilo nalo alipewa maelekezo na nani
Job akapitisha miswada haraka usiku ukiwemo wa sheria mbaya! leo tunavuna utekaji kwasababu yake

Orodha inaendelea, tuache unafiki.
Job Ndugai hakuwa mwema kwa Taifa, alichangia ubovu mwingi, tumpe alichopanda ndiyo legacy yake

Job Ndugai alitekeleza kauli ya Mandela kwa ukamilifu, halafu akashindwa kuchukua hatua kama alivyosema Einstein

Hii habari ya kumsingizia mtu mwingine atajuana na Mola wake.
Tunamhukumu hapa kwa matendo yake , ni unafiki kusema alikuwa mtu mwema wakati tunajua hakuwa

Ndugai hakututendea haki sisi Umma, ninyi mliofadika na saini zake mkichukua mamilioni ya kodi zetu kwa kukaa Bungeni, mishahara na maposho alikuwa mwema sana kwenu.

Tuache unafiki ! Viongozi waambiwe ili wajue itasemwa nini siku wakiondoka!


JokaKuu
 
Chama cha matapishi ndicho kimetufikisha na kutulazimisha tubaki ktk siasa hizi chafu,ovu na zakishetani.
Tukidai katiba mpya hayataki,chaguzi huru hayataki alafu yanataka tuyaelewe hata yanapotutesa na kutuua!!
Huyo mwendazake mpya aliwahi kusema mwendazake jiwe alikuwa mtu mwema na mpole🤮🤮
Muovu akifa naiwe shangwe Kwa wenyehaki so wakishangilia nisawa huwezi lazimishia mtu huzuni au aoneshe huzuni wakati kafurahi
 
Allegedly, Tibaijuka hawezi msamehe Magufuli sababu za Rugemalira kuwekwa jela.

Anaweza mtungia uongo wowote bila ya ushahidi wa kuthibitisha.
Mmmm! Kwa ile issue ya Lissu, hata wewe unafahamu yale yalikuwa ni maelekezo ya JPM.
 
Mwaka huu watatoa siri zooote
 
Msenge huyu bibi kizee wakihaya,Kwani Ndugai alishindwa Nini kusema haya akiwa hai,

Ndugai alisema mambo magumu kuliko haya(Nchi itapigwa mnada)
Hiki ni kitu kidogo sana kuwekwa kama classified information.

Atulie
 
Kuna chuki kubwa sana humu nchini kutoka kwa wananchi kwenda kwa watawala, sijui CCM ni kwa nini hawalioni hili jambo la kutafuta muafaka wa kitaifa. kwa udharura wake.. Yaani mpaka watu wanashangilia kifo, si jambo dogo, tunapoelekea, itafika siku watu wataanza kukanyaga (defecate) maiti ya muhusika.. chuki imezidi, CCM na serikali yenu, lingalieni jambo hili kwa wivu mkubwa na muwalete wananchi pamoja kama Mr.Polepole anavyo waomba...

Kitendo kile cha Lissu bado kitakumbu kwa sana tu na sasa mambo munayo mfanyia yanaongeza hasira za watu huko mitaani... kuweni makini sana kabla watu hawajaanza kujitoa muhanga kama hatua ya mwisho ya kukosa matumaini katika maisha yao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…