Mtoa taarifa hajamtuhumu kama kaiba. Kwa vyombo vya dola makini hapa ndio vinatakiwa vianze uchunguzi. TRA na Takukuru Mko wapi?Inategemea kama Ana vyanzo vingine kama vile mashamba ya miti , kilimo nk
Corona inatishaTwo wrongs does not make one right....
Sasa credibility ya kuwanyooshea kidole CCM bungeni inatokaje huko "mliko"?!!! Khaaaa [emoji15][emoji15][emoji15]
👍Watu wanajenga kwa mkopo, muhimu uwe na colateral
Mkuu Aisee ndo wewe Frenki kila siku mida ya msosi unavizia kuja homu kula na kuangalia kideo?Unamjua vizuri? una hakika na hili unalomsemea?? Mama Makinda ana mtoto (Binti wa Kumzaa mmoja ) na pia anakaa na watoto wa dada na wadogo zake.Binti ake Jina lake linaanzia na J Spika mimi namfahamu toka Tunakaa nae maeneo ya Seaview Upanga akiwa Waziri wa Wizara ya Wanawake na Watoto.Those Days watoto waliokuwa kwake We where friends and mara nyingi tulikuwa tunashinda kwake during the weekends watching Movies and Recorded CNN news Bulletins from VHS Tapes borrowed at EMPIRE MOVIE THEATER VIDEO LIBRARY Karibu na Mavuno House Posta mpya
Tatizo vijana wa miaka hii wanataka kushindana kimafanikio na mtu aliyeanza Kazi miaka ya 70 huko...na ndio tunaishia kwenye madeni ya ajabu ajabuUmbea. Ujumbe wake wa bodi mbalimbali unaweza kumpatia hizo hela. Na ukimbuke huyo ni
Mfanyakazi wa siku nyingi unaweza alikuwa ana save au kakopa.
Huo ni ugonjwa....huweza kumpata yeyote yule.....rudi kwenye mada ya wabunge wako wa "mbeleko" za UHUSIANO ,UDUGU NA NGONO.....Corona inatisha
Hapo sasa....Tatizo vijana wa miaka hii wanataka kushindana kimafanikio na mtu aliyeanza Kazi miaka ya 70 huko...na ndio tunaishia kwenye madeni ya ajabu ajabu
Mtu laanza Kazi hata wazazi wako hawajakutana then unataka mfanane, unazijua hustle zake?
Uenyekiti unalipa na viongozi wa CCM ndio matajiri wakubwa Tanzania na mwisho uliambiwa hawatakiwi kushitakiwa.Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Picha ya nyumba ipo wapiHamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Wakati anatoa mil 900 ulikuwepo?,kumbuka huyo ni mtumishi wa serikali toka akiwa mhasibu hadi anamalizia akiwa spikaHamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Tatizo vijana wa miaka hii wanataka kushindana kimafanikio na mtu aliyeanza Kazi miaka ya 70 huko...na ndio tunaishia kwenye madeni ya ajabu ajabu
Mtu laanza Kazi hata wazazi wako hawajakutana then unataka mfanane, unazijua hustle zake?
habari msemaji wa familia ya Makindahuyo mama ana channel nyingi sana za kipato, pia mafao yake katika ngazi mbali mbali za uongozi, hakuwa mtumiaji wa kuonekanaa sasa muda umewadia wa kujifunua matumizi
ata hii huenda amecheza step vibaya taarifa zikavujaa
Kweli kabisa. Na mtu aliyeinvest akipata mafanikio bado tutataka kushindana nae, mwisho tunajaa madeni yasiyolipika.Shortcut vijana wanawaza harrier tako la nyani muda wote ardhi ya mashamba vijijini kwao wameiacha wajanja wako mjini mkoani miti ekari kadhaa nazo zinakua miaka kumi mbele anaanza kuchana mbao anakula pesa, ukipata laki unaenda club kuitafuna mwenzako laki liwale huko anapata ekari 4 anaanza kulima korosho kesho kesho kutwa unataka uwe sawa na mtu alie invest,
You speak as if you don't feel the Pain ndugu Arovera.Mama alianza kulima miti ya mbao ekari kibao kwao njombe miaka hiyo, kalima maelfu ya ekari za milingoti miaka kibao, leo akose 900 milioni kweli? Mama mwenye baadhi ya mabasi superfeo leo ashindwe kukopesheka haiingii akilini na sio watumishi wote wa umma hawafanyi biashara wako wenye biashara halali na wanapiga pesa na tunakutana nao either kwenye mishemishe huko, sawa na uone vituo vya mafuta Esther filling station, au Esther Bus uanze kumlaumu Mwigulu wakati alianza na basi moja akajikongoja taratibu, kanunua na kulima mazao kwao makunda hadi kafika hapo, muda mwingine tujiongeze tuache roho mbaya.
Kweli kabisa. Na mtu aliyeinvest akipata mafanikio bado tutataka kushindana nae, mwisho tunajaa madeni yasiyolipika.
Hivi alisema hiloYaani tangu aseme kuwa atakuwa wa mwisho kuamini Mbowe ni gaidi mmeanza kumshambulia!
Mwacheni!
Mbona JK hamumsemi?
Akili za kimasikini hizi, panda miti ya mitiki ekari 2 tu hizo pesa utazishikaHamjambo ndugu zangu?

Ndio