TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

Nonsense[emoji706][emoji706]

Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
 
Inaaminika huyu Mdada ambaye ni mpinzani wa Kagame,tiyali Kagame kaisha fanya yake.

Inasikitisha sana kwa kweli,Dah Kagame mwisho wake utakujaga kuwa mbaya sana.View attachment 2856258View attachment 2856259
Kama kweli kauwawa lilikuwa ni suala la muda tu. Dunia hii hakuna muuaji kama Kagame. Na atalipa tu siku Moja. Kama sio yeye basi watoto wake au wajukuu zake!
 
Kuua wapinzani wako ni udhaifu
 
Dikteta Kagame kwa muda mrefu sasa wapinzani wake wakubwa ni watutsi wenzake kama hao.

Luteni Jenerali Faustine Kayumba Nyamwasa, Patrick Karegeya (Rip) nk ni baadhi tu ya watutsi ambao wamekua wakimpinga dikteta huyo wa Rwanda.
Yule jamaa ni noma......halazi damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…