Mwana Taaluma
JF-Expert Member
- Oct 21, 2019
- 705
- 1,662
Nakubali M/kitiHauna picha yake full nijichukulie sheria mkononi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali M/kitiHauna picha yake full nijichukulie sheria mkononi
Nonsense[emoji706][emoji706]Mdada mzuri kama huyu kuwa mwanaharakati ni kujitakia balaa. The same nawaambia kina Maria Sarungi na Acheni mambo ya kujifanya wanaharakati wakati hao mnaowapigania wenyewe hawajui kujipigania.
Huyo dada ameteseka sana yeye na familia yake yeye na mama yake wamekaa ndani muda mrefu lakini pale Rwanda hakuna mwananchi aliyepaza sauti kuwatetea.
Hawa kina Mwabukusi pia nawaasa nchi hii unapoteza muda kujifanya unatetea sijui haki sijui nini wewe pambania familia yako na ndugu zako tena wa karibu. Mambo ya kufanya unatetea haki za wanyonge kwa hizi nchi za kusini mwa jangwa la sahara bado sana utaumia utakufa unaacha familia yako iliyokuwa inakutegemea.
Lissu na Mbowe wameanza kugundua hili, siku hizi wanafanya siasa kwa afya sio kujitesa.
Raia wakiamua kuunga mkono utatoboa.Siasa za Afrika ukiruhusu kila mmoja akupande kichwani hutoboi, hata MamaDully alianza kwa upole saivi let shobo sasa utimbiwe na macops.
Ushauri, huwez shindana na serkali kosoa kwa hoja onyesha msimamo wako tulia usitangaze battle hutoboi.
Ikiwa sio kweli itakusaidia nini?Naomba isiwe kweli, huyu dada namkubali sana jamani!
Ila amekaa ndani kipindi kirefu sana, hadi nilishasahau story yake.
Kama kweli kauwawa lilikuwa ni suala la muda tu. Dunia hii hakuna muuaji kama Kagame. Na atalipa tu siku Moja. Kama sio yeye basi watoto wake au wajukuu zake!Inaaminika huyu Mdada ambaye ni mpinzani wa Kagame,tiyali Kagame kaisha fanya yake.
Inasikitisha sana kwa kweli,Dah Kagame mwisho wake utakujaga kuwa mbaya sana.View attachment 2856258View attachment 2856259
Kuua wapinzani wako ni udhaifuSerikali yoyote ikitaka ina weza kukupata popote ulipo, hasa kwa watu kama hawa ambao makazi yao yanafahamika na shughuli zao zina fahamika ata baada ya kukimbia nchi
India ina mahusiano ya mashaka na Canada kwa kutekeleza mambo yanamna hiyo nchini Canada...
Russia imepigana na ina pigana vita ya namna hii na mataifa mengi ya magharibi
Ni jambo la kawaida...!
Usiwacheke. Sisi hapa ccm inatusumbua tangu 1977. Heri ya Rwanda Kagame kaanza kuwatesa mwaka 2000Wanyarwanda ndiyo wajinga zaidi kusumbuliwa na mtu mmoja
Duuh wasiojulikana ndio nyie.....Haya bwana kuleni maisha.Kawaida ukiona mtu analeta hofu unamfinya tu kimtindo maisha yanaenda.
Ni kama anajiona ataishi miaka yote duniani. Kuna watu wana roho mbayaa. Kisa urais tuKagame ananuka damu za watu ni zaidi ya dikteta
Bwana anabatiliza wana wa maovu hadi kizazi cha Nne.Kama kweli kauwawa lilikuwa ni suala la muda tu. Dunia hii hakuna muuaji kama Kagame. Na atalipa tu siku Moja. Kama sio yeye basi watoto wake au wajukuu zake!
Kumbe ni Mtu wa jihad huyu?Ndomaana ni kawaida kwenu kuwaua wasioamini islam
PossiblyKagame ni Double Agent wa Mossad na CIA.Hivo hawezi kukamilisha mipango yote bila hao mabwana zake.
Yule jamaa ni noma......halazi damuDikteta Kagame kwa muda mrefu sasa wapinzani wake wakubwa ni watutsi wenzake kama hao.
Luteni Jenerali Faustine Kayumba Nyamwasa, Patrick Karegeya (Rip) nk ni baadhi tu ya watutsi ambao wamekua wakimpinga dikteta huyo wa Rwanda.
Amelalamikia tumbo tu. Halafu viungo vya mwili vikakosa kufanya kazi mpaka kufariki. Inaaminika ni sumuNaomba isiwe kweli, huyu dada namkubali sana jamani!
Ila amekaa ndani kipindi kirefu sana, hadi nilishasahau story yake.