TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

Mdada mzuri kama huyu kuwa mwanaharakati ni kujitakia balaa. The same nawaambia kina Maria Sarungi na Acheni mambo ya kujifanya wanaharakati wakati hao mnaowapigania wenyewe hawajui kujipigania.
Huyo dada ameteseka sana yeye na familia yake yeye na mama yake wamekaa ndani muda mrefu lakini pale Rwanda hakuna mwananchi aliyepaza sauti kuwatetea.
Hawa kina Mwabukusi pia nawaasa nchi hii unapoteza muda kujifanya unatetea sijui haki sijui nini wewe pambania familia yako na ndugu zako tena wa karibu. Mambo ya kufanya unatetea haki za wanyonge kwa hizi nchi za kusini mwa jangwa la sahara bado sana utaumia utakufa unaacha familia yako iliyokuwa inakutegemea.
Lissu na Mbowe wameanza kugundua hili, siku hizi wanafanya siasa kwa afya sio kujitesa.
Nonsense[emoji706][emoji706]

Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
 
Inaaminika huyu Mdada ambaye ni mpinzani wa Kagame,tiyali Kagame kaisha fanya yake.

Inasikitisha sana kwa kweli,Dah Kagame mwisho wake utakujaga kuwa mbaya sana.View attachment 2856258View attachment 2856259
Kama kweli kauwawa lilikuwa ni suala la muda tu. Dunia hii hakuna muuaji kama Kagame. Na atalipa tu siku Moja. Kama sio yeye basi watoto wake au wajukuu zake!
 
Serikali yoyote ikitaka ina weza kukupata popote ulipo, hasa kwa watu kama hawa ambao makazi yao yanafahamika na shughuli zao zina fahamika ata baada ya kukimbia nchi

India ina mahusiano ya mashaka na Canada kwa kutekeleza mambo yanamna hiyo nchini Canada...

Russia imepigana na ina pigana vita ya namna hii na mataifa mengi ya magharibi

Ni jambo la kawaida...!
Kuua wapinzani wako ni udhaifu
 
Back
Top Bottom