APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,316
- 9,596
Siku yake naye itafika tu.Kagame ananuka damu za watu ni zaidi ya dikteta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku yake naye itafika tu.Kagame ananuka damu za watu ni zaidi ya dikteta
Mkuu mtu ambaye amewakunja Wanyarwanda Nchi nzima inamwita Bogus?Ni bogus tu hana lolote.
Imechelewa ataendelea kuua watu wengiSiku yake naye itafika tu.
Africa serikali nyingi ni mali ya shetaniDuh! RIP, upinzari africa ni changamoto sana!
Kumbe ndiyo maana Watanzania wengi ( japo siyo Wote ) MNADHARAILIWA EAC ( Afrika Mashariki ) nzima kuwa HAMNA AKILI kabisa.Inaaminika huyu Mdada ambaye ni mpinzani wa Kagame,tiyali Kagame kaisha fanya yake.
Inasikitisha sana kwa kweli,Dah Kagame mwisho wake utakujaga kuwa mbaya sana.View attachment 2856258View attachment 2856259
Kwa mara ya kwanza umeandika jambo la kweliBila Felix Tshisekedi kumpindua huyo Kagame ataendelea kuua watu wote wanaotishia mamlaka yake.
Akitoka anapachika Watoto wake.
Mkuu GENTAMYCINE ni wewe kweli ndiye umeandika haya au akaunti yako imevamiwa na wadukuzi? Wewe kweli unaweza kushabikia udikteta wa Kagame? Umenisikitisha sana.Kumbe ndiyo maana Watanzania wengi ( japo siyo Wote ) MNADHARAILIWA EAC ( Afrika Mashariki ) nzima kuwa HAMNA AKILI kabisa.
Yaani Mtu KAFARIKI kwa SHIDA zake haraka sana kwa CHUKI ZENU kwa Rais Kagame upesi sana mmeanza KUZUSHA na KUMCHAFUA kuwa KAMUUA.
Yawezekana CHUKI zenu Watanzania wengi kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame ikawa ama ni kutaka AZAE nanyi ili nanyi muwe na AKILI KUBWA kama zake na za Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) au awe SHEMEJI yenu kwa Dada zenu kwani siyo kwa KUMCHUKIA Kwenu huku.
Mnakera mno tu na haivumiliki tena.
Weka andiko lako vizuri maanake haieleweki.Mkuu mtu ambaye amewakunja Wanyarwanda Nchi nzima inamwita Bogus?
Alikaa kidogo akapata exile USANaomba isiwe kweli, huyu dada namkubali sana jamani!
Ila amekaa ndani kipindi kirefu sana, hadi nilishasahau story yake.
Mjinga weweKawaida ukiona mtu analeta hofu unamfinya tu kimtindo maisha yanaenda.
Wewe humjui Kagame nyamazaNi kweli amefia Marekani but sio sahihi kuhusisha kifo chake na mambo ya kisiasa kama anavyo taka kushawishi mtoa mada.