TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

Kagame atakuja kufa kifo kibaya sana kama hiki kilichotokea hapa Tanzania. Mungu anamuona na anamhesabia kila kosa analofanya hapa duniani dhidi ya wapinzani wake wa kisiasa.

Kule kijijini kwetu watu waovu kama Kagame tunawaombea wafe while sticking an index finger in the ass. Anatenda dhambi kubwa sana huyu mpuuzi.

Ameua demokrasia na uhuru wa maoni, sasa ameamua kuua wapinzani wake kwa kuwanywesha sumu. Mungu yupo. Ipo siku atamshughulikia vikali.
 
Inaaminika huyu Mdada ambaye ni mpinzani wa Kagame,tiyali Kagame kaisha fanya yake.

Inasikitisha sana kwa kweli,Dah Kagame mwisho wake utakujaga kuwa mbaya sana.View attachment 2856258View attachment 2856259
Kumbe ndiyo maana Watanzania wengi ( japo siyo Wote ) MNADHARAILIWA EAC ( Afrika Mashariki ) nzima kuwa HAMNA AKILI kabisa.

Yaani Mtu KAFARIKI kwa SHIDA zake haraka sana kwa CHUKI ZENU kwa Rais Kagame upesi sana mmeanza KUZUSHA na KUMCHAFUA kuwa KAMUUA.

Yawezekana CHUKI zenu Watanzania wengi kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame ikawa ama ni kutaka AZAE nanyi ili nanyi muwe na AKILI KUBWA kama zake na za Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) au awe SHEMEJI yenu kwa Dada zenu kwani siyo kwa KUMCHUKIA Kwenu huku.

Mnakera mno tu na haivumiliki tena.
 
Mkuu GENTAMYCINE ni wewe kweli ndiye umeandika haya au akaunti yako imevamiwa na wadukuzi? Wewe kweli unaweza kushabikia udikteta wa Kagame? Umenisikitisha sana.
 
Back
Top Bottom