Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Hawa ni wale Malaika wenye tamaa walitumwa kuja Duniani kumlinda Mwanadamu mweusi ktk Bustani ya edeni sasa wao badala ya kulinda! si mijamaa ikaanza kuwatamani wanawake warembo wa kibinadamu!

Yaani mzee walikuwa wakiangalia hivi ile mitikisiko ya kota na mikito ya ke wanadamu Mama weee!! wakashindwa kujizuia!! badala yake wakazaa midude ya ajabu sana mnoo! hayo hayakuzaa! ila yalikula kila kitu! juu ya ardhi!

Baadae Mungu akashuka kwa hasira kafuta kile kizazi choooote!
 
huyu ndo Girgamesha mwenyewe sasa!!
 
mkuu nimesoma post zako.zimenipa kitu.shusha nondo zaidi
 
Ndugu nimependa sana angle ya hoja zako, ila kama hutojali naomba nikuulize kidogo"Mungu ni nani?, uwepo wa Annunaki umethibitishwa kwa facts, Mungu tunamthibitishaje kwa mwanadamu kuwa huyu mdiye Mungu kama ilivyothibitishwa kwa Annunaki uwepo wao hapa duniani.
 
Kwahiyo ndugu, mtu mweupe siyo uzao wa Mungu?, mtu mweusi ndiye uzao wa Mungu?, kwa lugha nyingine Annunaki ni Mungu wa mtu mweupe, na kwa maana hiyo Mungu anayesemwa kwenye vitabu vitakatifu siyo Mungu wa wote bali ni Mungu wa mtu mweusi tu?
 
Safi sana, kingine ningependa kuuliza tunathibitishaje uwepo wa Mungu bila kutumia nadharia tu.
 
Kweli hii ni movie tu kama movie zingine, ila in case of reality non!! Ni porojo tu kama porojo zingine!!
 
Sasa biblia inahusikaje tena mkuu na haya mashudu yako!! Hebu fanya yajitegemee bwana maana mlishasema Hakuna Mungu sasa inakuaje tena???
 
Story za kufurahishana tuu hizi na siamini na niweke clear sina tatizo na wanaoamini, ni mambo ya imani tuu lakini ukiangalia vizuri vitabu vyote vya dini na idea nzima ya mungu dont make any sense, story hapa zinafurahisha and sometimes very challenging keep em coming, ila naamini binadamu tunaishi forever na kifo ni wengine ndio wanaona umekufa lakini wewe huwezi kujua kama umekufa ni kama kuzaliwa wengine ndio wanajua umezaliwa ila mtoto mchanga akizaliwa hajui, tuendelee
 
Umechanganya kitu hapo Neanderthals na nephilim ni viumbe viwili tofauti.

Neanderthals hawa walikuwa na mili mikubwa kidogo kama ya binadamu wa sahiv tu na nguvu na walikuwa primitive sana.

Nephilim hawa ndio walikuwa na mili mikubwa kupita kiasi (giant) na walikuwa na akili na sio primitive
 
Kwahyo malaika hao ambao tena unasema ni anunaki ni wana ngoz nyeupe ama?

Kwahyo hao viumbe wa mungu malaika ni ngoz nyeupe na wenye nywele zao zile au sio...

Arabs..jews ni asili nyeus au nyeupe..?

Jesus ana asili gan?nyeus au nyeupe?

Kama the true human was black...that means adam was black....?

So habar za mungu ambae ziko connected na jews zmetoka wap?..ni huyo mungu alieumba blacks?

Kama asili ya mwnaadam ni ngoz nyeus..huu weupe walionao jews ambao tunaamin kwenye kitab cha bible uzao wao ndio umesogea had kwa jesus..why mwana wa Mungu asitoke pure black akatoka mweupe?..au mungu wa jews sio mungu wa blacks?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa biblia inahusikaje tena mkuu na haya mashudu yako!! Hebu fanya yajitegemee bwana maana mlishasema Hakuna Mungu sasa inakuaje tena???
Acha kudandia dandia mada za watu kama Malaya kaona Hela,kitu kama huelewi Kaa mbali nacho Sasa hiyo biblia Ina kipi special kuliko vitabu vingine wewe zuzu,au kisa kina Constantine pale Nicea committee walikukusanyia baadhi ya vistory vichache na kuiweka pamoja basi na na wewe ulivyosoma ukaona umemaliza Kila kitu au Sio?
Funguka akili Acha ufala
Tafuta maarifa nje hicho kitabu chenye story nusu nusu Soma Accient writings za Sumerians zenye story kamili Acha kua brain washed,
Nanukuu
"Watafiti wamesoma vitabu zaidi ya 500 ila Bado Wana kiu ya maarifa"
Watu was Dini wamesoma kijitabu kimoja wanajiona wanajua Kila kitu"
Mwisho wa kunuu!
Mada facka!
 
Hawa ni wale Malaika wenye tamaa walitumwa kuja Duniani kumlinda Mwanadamu mweusi ktk Bustani ya edeni sasa wao badala ya kulinda! si mijamaa ikaanza kuwatamani wanawake warembo wa kibinadamu!
Kwa lugha rahisi basi sema ni kwa mujibu wa vitabu vya dini wanaitwa malaika

Lakini kulingana na mtoa mada hiki ni kikundi cha wahuni kutoka anga za mbali waliokuja kwa madhumuni yao binafsi na keshayaelezea

Yaani mzee walikuwa wakiangalia hivi ile mitikisiko ya kota na mikito ya ke wanadamu Mama weee!! wakashindwa kujizuia!! badala yake wakazaa midude ya ajabu sana mnoo! hayo hayakuzaa! ila yalikula kila kitu! juu ya ardhi!
Sasa hapa ndio yapaswa kuwa na mazingatio kama ikiwa wewe ni mtu wa kidini na hupendi kujihusisha na utafiti au kusumbua akili kidogo, yapaswa ujiulize hivi

1.Kingdom za wanyama_jinsi zilivyoachana kwa umbali wa muonekano wa maumbile na ufahamu_'hivi inawezekana kweli binadamu akatamani kila alichonacho fisi.? Jibu hapana, labda uwe ni binadamu asiyekamilika, tena ni afadhali kwa nyani kidogo kwa kuwa tunalandana nae

Lakini tunaona hadithi kwenye vitabu vya dini za viumbe waliotamani makalio ya hayawani binadamu na kilakitu walichonacho, Halafu wanaitwa malaika.! ?

2.Chembe za urithi_si rahisi kwa binadamu kuzaa na nyani hata kama wanashabihiana, kwa sababu ya mifumo yao ya kijenetik waliyonayo

Labda kwa wanyama wa kingdom moja unaweza pata hybrid kutokana kingdom husika

Lakini hawa jamaa wanaoitwa kwa jina la heshima malaika (ili kututofautisha na sisi) waliweza kuzaa na sisi japo si viumbe wa kingdom moja.! Hii ni shida

Lazima tukubaliane na mtoa mada kuwa hii ilikuwa ni project maalum kwa kazi maalum japo mtoa mada kajaribu kudodosa baadhi kwa muono wake

Baadae Mungu akashuka kwa hasira kafuta kile kizazi choooote!
Hapa ndio inadhirisha kwamba madai ya mtoa mada kwamba hawa ni viumbe wa kawaida tu ila sema wapo juu kidogo tu na wana utawala kamatulivyo hapa binadamu duniani.. hawana maajabu
 
Na kama waliwataman na waliweza zaa nao..manake hao malaika wana via vya uzazi...si ndio...kama wana via vya uzaz na matamanio bas kuna ukwel mchungu sana umejificha kuhusu mambo haya ya imani na dini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kama waliwataman na waliweza zaa nao..manake hao malaika wana via vya uzazi...si ndio...kama wana via vya uzaz na matamanio bas kuna ukwel mchungu sana umejificha kuhusu mambo haya ya imani na dini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika.. ila jamaa wanazuga tu

Naweza ungana mdau mmoja alisema hawa jamaa walifanya gene manipulation kati ya spices yao na hii dhaifu waliyoikuta huku kwa malengo yao

Na kwa ishu ya ngono inawiana ikiwa wapo labda waliochoshwa na masheria ya uko kwao ya kupata wenza wakaona isiwe tabu mbona hata wa duniani wapo kama wa huko kwao(maana wanafanana tofauti ni ndogo tu) wakaamua kuchukua mitulinga ya kupoza roho..wakisema hivi kidogo nitawaelewa, kwa mujibu wa vitabu vyao
 
Yaani siku zote hizo ilikuwa haujashtuka kuwa Dini Ni false assumption !?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…