SEHEMU YA TANO
TURUDI TENA KWENYE NENO MOJA AMBALO NI "GENE"
Uthibitisho kutoka kwenye vitabu vya kale, Mesopotamian unasema kwamba hatua ya kumuumba mtu kutoka kwenye genes za miungu na Homo erectus genes, ulihusisha matumizi ya gene za kiume kama tunu ya maisha(uhai) na uzima na genes za kike kama earthly element.
Katika kumuumba Adam katika ufanano wao, kitabu cha Genesis kinaelezea kuzaliwa kwa Seth mtoto wa Adam katika maneno yafuatayo:
And Adam lived a hundred and thirty years,
and had an offspring in his likeness and after his image,
and he called his name Seth.
Hapa utaona kabisa terminology iliyotumika inafanana kabisa na iliyotumika wakati wa Miungu kumtengeneza Adam. Hii inathibitisha ya kwamba hata Adam aliumbwa kwa kutumia mbegu ya kike na mbegu za kiume through fertilization.
Kama udongo ambao damu ya Miungu ilichanganywa ulikuwa ni earthly element kama vitabu na maandiko yanavyosisitiza, inaweza kuhitimishwa kwamba genetic material ya Miungu iliwekwa kwenye yai la mwanamke ambaye ni ape. Katika Akkadian neno udongo ni TI.TI, likiwa na maana "that which is with life". Katika Waebrania neno udongo ni "tit" likiwa na maana "egg".
Ovum ya Homo erectus wa kike ilikuwa fertilized na genes za Miungu na kuwekwa kwenye tumbo la mke wa Ea , then after the model was obtained, duplicates of it were implanted in the wombs of birth goddesses, to under go the process of pregnancy and birth.
"The Wise and learned,
Double seven birth goddesses had assembled.
Seven brought forth males,
Seven brought forth females
The birth Goddesses brought forth
The Wind of the Breath of Life.
In pairs were they completed,
In pairs were they completed in her presence.
The creatures were people
Creatures of the Mother Goddess.
Homo sapiens had been created"
Watu wa kale, hadithi, habari za kwenye biblia na sayansi ya leo vyote vinatoa ujumbe unaofanana kwa namna moja hama nyingine. Utafiti wa anthropologists wa leo, unasema kuumbwa na chimbuko la mtu wa leo ni kusini-mashariki ya Afrika. Vitabu vya Mesopotamian vinasema kuumbwa kwa mtu na chimbuko lake ni Apsu katika ulimwengu wa chini ambako ardhi ya migodi iliwekwa, vile vile vitabu kadhaa vimemtaja "sacred Amama", mwanamke wa dunia, ambaye makao yake yalikuwa Apsu.
Lakini mwingine anaweza kuhitimisha kwa kusema, kuumbwa kwa mtu, kulileta ufa miongoni mwa Miungu. Pamoja na kwamba mtu aliumbwa hili awe kibarua wao wa kuchimba dhahabu kwa ajili ya kupeleka Mbiguni, Annunaki alikuwa na wasi wasi kuhusu utii wa mtu huyo kwao. Katika "The Myth of the Pickax", Annunaki aliyekaa sumer chini ya Enlil obtained their fair share of the Black-Headed People.
Seeking to re-establish the normal order , Enlil took extreme action of severing contacts between "Heaven"(the 12th planet/spaceships) and Earth, and launched some drastic action against the place "where flesh sprouted forth."
The Lord,
That which is appropriate he caused to come about.
The Lord Enlil,
Whose decision are unalterable,
Verily did speed to separate Heaven from Earth
So that the created ones could come forth.
Verily did speed to separate Earth from Heaven.
In the "Bond-Heaven-Earth" he made a gash,
So that the created Ones could come up
From the Place-Where-Flesh-Sprounted-Forth.
Enlil alitengeneza silaha kubwa na ya hatari ya maangamizi, iliitwa AL.A.NI (ax that produces power) ambayo ilikuwa na jino kubwa kama shoka, ingeweza kutoboa na kuangusha kuta. Enilil alifanya mashumbulizi mengi ya silaha yaliyopelekea kuuwawa kwa viumbe wengi sana wakiwemo black headed people.
Annunaki walimuomba Enlil kama mmoja wapo wa Miungu hiyo kusitisha mashambulizi yake, na kuwachukua Primative Workers wakaendelee na kazi ya kuwatumikia Miungu wao. Kama invyoelezea moja wapo ya tale;
The Annunaki stepped up to him,
Raised their hands in greetings,
Soothing Enlil's heart with prayers.
Black headed Ones they were requesting of him.
To the Black headed people,
they give the pickax to hold.
Vile vile kitabu cha Genesis kinaelezea kwamba Adam alitengenezwa Mesopotamia Magharibi na kuletwa Mesopotamia Mashariki kufanya kazi kwenye bustani ya Eden (Garden of Eden):
And the Deity Yahweh
Planted an orchard in Eden, in the east
And He took the Adam
And placed him in the Garden of Eden
To work it and to keep it.
Hivi ndivyo mwanadamu wa sasa alivyoumbwa. Kilichofuatia baada ya kuumbwa kwake ni "THE END OF ALL FLESH".
Picha ya kwanza inaonyesha ilipo Garden of Eden.
View attachment 2104375
View attachment 2104377
View attachment 2104379
obelisk