Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Je wewe Unaamini katika Mungu Gani?Sio najifanya najua,najua kweli kweli,kwa kuwa nimetafuta ukweli wa mambo mengi,sitaki kulishwa pumba kama hizi za Artificial Intelligence.
Quran ni copy and paste from accient Bible,imekopa mambo mengi kutoka Tablets za Judaism and Christianity Kwahiyo hakuna utofauti wowote kote unakuta visa vile vile maana old bible verses ni kongwe kuliko Bible new Edition iliyotengenezwa pale Nicea committee Constantinople!ningependa pia kama muandishi angetoa na kilicho kwenye qur-an na si ku base kwenye bible tu na history nyengine ili kusiwe na shaka ndan ya story hii yetu
Mkuu huyu utapoteza mda maana hayuko kwa nia ya kujifunza amejaza mavi kichwani hataki kuyatoaHakuna Elimu uchwara hapa kamanda hiyo Elimu ipo long time before abrahamic Religion,Hizo dini unazojinasibu ni za Mungu wako waanzilishi ni hao Hao Annunak halafu Leo unakuja kunyamba nyamba hapa
Au hujui Abraham na baba yake Terra walitoka Uru ya Ukaldayo Huko Mesopotamia ambako ndio kulikua ustaarabu wa kuabudu Miungu na Mungu wa Abraham anaitwa El Moja ya Miungu Annunak?
Pumbaf kasome historia ndio uje ubishane na Mimi
Eboooo!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
hahahahaha hua unanifurahisha Sana Mathanzua Leo unakana hapa kwamba hizi habari ni uongo na ni muumini wa Abrahamic religion,hivi unajua huyo mwanzilishi wa Nadharia ya Mungu El/YHW/Elohim alitoka jamii Gani mpaka akaingia ubia na Abraham na uzao wake ?Unajuaje kwamba zimetengenezwa tangu huko nyuma na ziko kwenye kila jamii,wewe ulikuwepo na uko kwenye kila jamii?Kama ni uongo,and remember Satan is a lier and the father of lies!Acha umbumbu wewe.Na hata kama zipo kwenye kila jamii na zilikuwepo huko nyuma,Satan can make that happen by using his morons,kama ilivyo leo kwenye mambo mengi.
Dumas the terrible jambo kuwepo zamani na kwenye kila jamii si kigezo cha kuwa kweli.Uongo ukirudiwa mara nyingi kwa muda mrefu ina aminika kuwa kweli.Hizo Ni mbinu tu za Shetani za kupotosha.Kwa hiyo Jua likiwaka na huku mvua inanyesha Simba anazaa kweli?Acha hizo wewee!
kn kitu nimeongeza hapahahahahaha hua unanifurahisha Sana Mathanzua Leo unakana hapa kwamba hizi habari ni uongo na ni muumini wa Abrahamic religion,hivi unajua huyo mwanzilishi wa Nadharia ya Mungu El/YHW/Elohim alitoka jamii Gani mpaka akaingia uhia na Abraham na uzao wake ?
Nipirove me wrong Abram hakua ni jamaa kutoka Ashur huko Uru ya Ukaldayo Mesopotamia
Jiulize kwanini jamaa aliweza Pokelewa na Pharao wa Wamisri na akapewa hifadhi huko na akajifanya Sarai mkewe ni dadaake farao akamchapia mwisho farao akapata matatizo na kumwambia kwanini kamdanganya na Kwa kumwambia ni dada yake ingali ni mke wake haoni kama anamfanya aingie dhambini
Sasa jiulize ilikuaje Farao na watu wa misri wawe wanaabidu Mungu mmoja pamoja na Abraham wakati ni jamii mbili tofauti?
Hapo pia inaonesha jinsi Farao alivyokua kua mstaarabu pamoja na wamisri kiujumla Kwa kufuata Morals and Dogma za kistaarabu sio kama tunavyoaminishwa Leo
Wamisri walikua Wapagani na waabudu shetani ilikuaje wawe wastaarabu kuliko huyo Abraham aliyekua anamwabudu El na ni mwongo?
Wake up utaujua ukweli ya kwamba misingi ya Dini zote ni Accient civilization!
hahahahaah unajua Tatizo ni hizi Dini za Abrahamic kuwahadaa Hawa watu na simulizi nusu nusu,na wao walivyo majuha wanaamini kile kilichoandikwa kwenye bible ni kweli tupu na hakuna Cha kuongeza Wala kupunguzaMkuu huyu utapoteza mda maana hayuko kwa nia ya kujifunza amejaza mavi kichwani hataki kuyatoa
Tatizo sisi ufahamu wetu tumeufunga ukitaka kujua zaidi tofauti na yaliyo andikwa kwenye Biblia ama Qouran unaambiwa unakufuru yaan tumelimit thinking capacity yetu sasa ndo tatizo letu .Mm bwana napenda sana kusoma mambo haya maana yanafungua akili sana na km ni mpenda kudadisi na kusoma unapata kitu kikubwa kwenye mada km hizi.hahahahaah unajua Tatizo ni hizi Dini za Abrahamic kuwahadaa Hawa watu na simulizi nusu nusu,na wao walivyo majuha wanaamini kile kilichoandikwa kwenye bible ni kweli tupu na hakuna Cha kuongeza Wala kupunguza
Kumbe hawajui ni jinsi Gani wahuni wa Rome kina Constantine pale Nicea ujanja walioufanya,walichomoa vitabu vyenye Kila kitu,historia zote na mwanzo wa mwingiliano wa jamii za watu na viumbe nyota za mbali
Pia wakafichwa Siri za hii Dunia na historia yake Toka mwanzo,
Wakaja letewa Bible nyepesi yenye story za kubumba na inayoelea Elea bila ufafanuzi wowote
Maajabu yake jamaa washakua Brain washed hawaambiliki Wala hawaoni
Wao na nyumbu hawana utofauti
Hua nacheka na
Kusikitika Sana!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
shukrani Mkuukn kitu nimeongeza hapa
Hata Wasabato wanadai wanamuamini Yesu but is a Cult na zipo sababu,tena biblical!Kwa upande wa alicho present Artificial Intelligence,facts zina onyesha kwamba alicho present ni heresy,na nimeonyesha why.hahahahaha hua unanifurahisha Sana Mathanzua Leo unakana hapa kwamba hizi habari ni uongo na ni muumini wa Abrahamic religion,hivi unajua huyo mwanzilishi wa Nadharia ya Mungu El/YHW/Elohim alitoka jamii Gani mpaka akaingia ubia na Abraham na uzao wake ?
Nipirove me wrong Abram hakua ni jamaa kutoka Ashur huko Uru ya Ukaldayo Mesopotamia
Jiulize kwanini jamaa aliweza Pokelewa na Pharao wa Wamisri na akapewa hifadhi huko na akajifanya Sarai mkewe ni dadaake farao akamchapia mwisho farao akapata matatizo na kumwambia kwanini kamdanganya na Kwa kumwambia ni dada yake ingali ni mke wake haoni kama anamfanya aingie dhambini
Sasa jiulize ilikuaje Farao na watu wa misri wawe wanaabidu Mungu mmoja pamoja na Abraham wakati ni jamii mbili tofauti?
Hapo pia inaonesha jinsi Farao alivyokua kua mstaarabu pamoja na wamisri kiujumla Kwa kufuata Morals and Dogma za kistaarabu sio kama tunavyoaminishwa Leo
Wamisri walikua Wapagani na waabudu shetani ilikuaje wawe wastaarabu kuliko huyo Abraham aliyekua anamwabudu El na ni mwongo?
Wake up utaujua ukweli ya kwamba misingi ya Dini zote ni Accient civilization!
wewe Mathanzua Wacha janja janja nimekuuliza wewe unaamini katika Mungu Gani mbona hujibu?Hata Wasabato wanadai wanamuamini Yesu but is a Cult na zipo sababu,tena biblical!Kwa upande wa alicho present Artificial Intelligence,facts zina onyesha kwamba alicho present ni heresy,na nimeonyesha why.
Labda nikuulize swali kila kitu lazima kiwe na chanzo....je umeshawahi kujiuliza nini chanzo cha MUNGU wako....na je alitokea wapi na je ilikuwaje mpaka akawepo.......nothing is from no where mkali......??????Dumas the terrible asante kwa kunikaribisha kujifunza alicho present Artificial Intelligence.Hata hivyo mbona sina cha kujifunza hapo,because most of it is heresy.Why is it heresy:
1.Artificial Intelligence states that Annunaki Ni viumbe.Sasa the God who created me si kiumbe,ni Alpha na Omega;He has been,and He will be,He was not created,but He is the creator!So you see how mighty he is.How can you compare Him to a created being.
2.Mungu wangu ni Mungu mmoja,huwezi kum-categorize into god's and goddesses!
3.Artificial Intelligence claims that watoto wa Annunaki ni Enki na Enlil!Mungu wangu hazai,He created,so obviously Annunaki did not create me kwa kuwa Mungu wangu ambaye aliniumba hazai!
Hivi ni vichache tu ambavyo nimeviona.Sikuwa na haja ya kuendelea kusoma kwa kuwa as I have already said most of it is heresy
Swali gumu Sana hilo kwake, Mtu anaweza kusema me sijaumbwa nimetokea tu from no where, labda nimetokana na mabadiriko ya hali ya hewa au labda nimetokea kwenye evolution of Man au nimeumbwa na Aliens ila watapinga Sana na kuleta hoja ya uumbaji wa Mungu ila ukiwauliza kuhusu kuthibitisha uwepo wa Mungu ndio ugumu unapoanziaLabda nikuulize swali kila kitu lazima kiwe na chanzo....je umeshawahi kujiuliza nini chanzo cha MUNGU wako....na je alitokea wapi na je ilikuwaje mpaka akawepo.......nothing is from no where mkali......??????
Yes boss kwa staili hiyo bhasi asiwe anabisha vitu asivyovijua...na akiwa anapinga kitu awe na elimu ya kutosha na fact ya kuelewekaSwali gumu Sana hilo kwake, Mtu anaweza kusema me sijaumbwa nimetokea tu from no where, labda nimetokana na mabadiriko ya hali ya hewa au labda nimetokea kwenye evolution of Man au nimeumbwa na Aliens ila watapinga Sana na kuleta hoja ya uumbaji wa Mungu ila ukiwauliza kuhusu kuthibitisha uwepo wa Mungu ndio ugumu unapoanzia
watakwambia we unadhani Dunia imetokea wapi? Unadhani binadamu ametokea wapi? Pumzi imetokea wapi? Sayari zinaelea vipi huko juu? Wanamaliza na kusema hakuna kitu kisichokuwa na mwanzo wake/mtengenezaji wake so Kila kilichopo Duniani kiliumbwa
Sasa we waulize swali kama lako, kama unajua kuwa hakuna kitu kinatokea tu from no where, je Una uhakika gani Mungu ye alitokea tu from no where? Inakuaje ye hakuumbwa Wala kuzaliwa? Muonekano wake au umbo lake lilitokana na reference Gani? Maana ye katuumba Kwa mfano wake Sasa ye alitokana na mfano wa nani?
Utaishia kupata majibu mepesi kwenye maswali magumu Mkuu
hahahahah hua wanaishia kusema oooh Mungu Hana mwanzo Wala mwisho ni Alfa na OmegaSwali gumu Sana hilo kwake, Mtu anaweza kusema me sijaumbwa nimetokea tu from no where, labda nimetokana na mabadiriko ya hali ya hewa au labda nimetokea kwenye evolution of Man au nimeumbwa na Aliens ila watapinga Sana na kuleta hoja ya uumbaji wa Mungu ila ukiwauliza kuhusu kuthibitisha uwepo wa Mungu ndio ugumu unapoanzia
watakwambia we unadhani Dunia imetokea wapi? Unadhani binadamu ametokea wapi? Pumzi imetokea wapi? Sayari zinaelea vipi huko juu? Wanamaliza na kusema hakuna kitu kisichokuwa na mwanzo wake/mtengenezaji wake so Kila kilichopo Duniani kiliumbwa
Sasa we waulize swali kama lako, kama unajua kuwa hakuna kitu kinatokea tu from no where, je Una uhakika gani Mungu ye alitokea tu from no where? Inakuaje ye hakuumbwa Wala kuzaliwa? Muonekano wake au umbo lake lilitokana na reference Gani? Maana ye katuumba Kwa mfano wake Sasa ye alitokana na mfano wa nani?
Utaishia kupata majibu mepesi kwenye maswali magumu Mkuu
Hawezi kuacha kubisha maana hataki kubadirika, Mtu ambae yupo teyari kubadirika huwa yuko teyari kupokea taarifa Mpya na kuzifanyia kazi maana ndio tofauti ya binadamu na wanyama walionyimwa akiliYes boss kwa staili hiyo bhasi asiwe anabisha vitu asivyovijua...na akiwa anapinga kitu awe na elimu ya kutosha na fact ya kueleweka
Kila kitu ni heresy hata vita vyako na wasabato umevisikia tu ukavikariri ukaviendelezaHata Wasabato wanadai wanamuamini Yesu but is a Cult na zipo sababu,tena biblical!Kwa upande wa alicho present Artificial Intelligence,facts zina onyesha kwamba alicho present ni heresy,na nimeonyesha why.
Yote kwa yote haya bado yanaacha maswali kuliko kutoa majibu.
1. Hao Anunaki waliofanya civilization walipotelea wapi, mbona hatuwaoni?
2. Anunaki wao chanzo chao ni nini?
3. Kwa nini unapinga kilichoandikwa na bible kuhusu asili ya mwanadamu, lakini kuna baadhi ya sehemu unaiquote biblia hiyohiyo kuhalalisha hoja zako?