Another motivating story from Nayce Moshi

Huyu Binti kwenye social media ni maarufu kuliko makondakta wote Tanzania na probably ni maarufu kuliko kampuni yake, umaarufu wake umeenda sambamba na Kaz yake na kampuni
Kama huwez kuona juhudi zake basi Kuna tatizo kubwa
Kuna kitu nyuma ya ukondakta Ila sitaki kutia neno ngoja nipite wima msije mkasema anko fujo we ushazoea fujo tuondolee fujo zako hapa
 
Kuna kitu nyuma ya ukondakta Ila sitaki kutia neno ngoja nipite wima msije mkasema anko fujo we ushazoea fujo tuondolee fujo zako hapa
Kuna yule kondakta mwenye makeke mengi mjini alikua anajiita muhasibu wa daladala akajikuta amekula shavu EFM ukifanya kitu kikaonekana kwenye huu ulimwengu wakibepari, mabepari wakiona fursa in you mbona unatoka tu au kwa vile yeye ni mdada
 
Sawa mkuu Mimi ntakua zangu Songea kwakina Leejay49 mpaka hio 31 December, kwa hio zamani hizo mlikua mkienda lazima makaburi yafukuliwe Ila sikuhizi makaburi mmeyapumzisha sio kwamba hamyafukui?
Tumegundua fanya tufanyvo biashara na mtaji ukue, ila tukagundua kumbe misukule tukiifuga hawawezi kuwa wateja katika maduka yetu na tuka earn more..

Naomba nikuwekee kidari cha mbuzi kama utakuja Boss...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…