BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
- Thread starter
- #61
Apewe maua yake..Huyu Binti kwenye social media ni maarufu kuliko makondakta wote Tanzania na probably ni maarufu kuliko kampuni yake, umaarufu wake umeenda sambamba na Kaz yake na kampuni
Kama huwez kuona juhudi zake basi Kuna tatizo kubwa