Another motivating story from Nayce Moshi

Huyu binti anachapa kazi sana.
Hana aibu kabisa na kazi yake.

Siku zote anajivunia anachofanya.

Nimemshuhudia akichakarika kazini, ni mwepesi sana na makini

Kiundani zaidi simjui na wala Sijawahi kua karibu nae hua nikiingia Instagram labda nikutane na clips zake tu bas!

Lkn mara nyingi kwa uzoefu wangu mdogo tunayooneshwa kwenye interface ni sehemu ndogo Sana ya yanayofanyika backend
 
Kiundani zaidi simjui na wala Sijawahi kua karibu nae hua nikiingia Instagram labda nikutane na clips zake tu bas!

Lkn mara nyingi kwa uzoefu wangu mdogo tunayooneshwa kwenye interface ni sehemu ndogo Sana ya yanayofanyika backend
Hayo ya sirini tuyaache tushughulike na machache mazuri yake
 
Pongezi sana kwake ila tuwe wakweli Kaongezewa tu majukumu na hadhi fulani ila mkwanja umepungua. Na si rahisi kusema mtu katoboa kwa hii miezi michache na msichojua pale watu wako kibiashara zaidi wanavutwa watu waingie line mapema. Mafanikio nayapima kwa mali na aina ya maisha utakayoishi bado ana safari ndefu ya kubadili maisha ya kwao ndipo awe ameroboa sio rahisi sana mifano tunaiona ila nampongeza anaendelea kuwa kwenye midomo ya watu
 
Ubaya unakuja pale ambapo mafanikio aliyonayo yatatumika kukejeli agement wenzake na kuanza kutuambia sisi majobless tutafute hela kumbe yy behind the scene ana folder nyingi
Ni kweli but huyu ninamtetea, juhudi binafsi zimemfanya kuwa na wateja wengi sana.

Fuatilia kila akipost utagundua ana watu wengi wanaielewa huduma yake na wanavutiwa na utendaji.

Kwa mimi niliyemuona live ninampongeza, ni binti mdogo mno hata kwa umbo, kiasi kwamba mwanaume unayejiheshimu huwezi kutaka umfunue😂
 
SAFI SANA NAYCE MOSHI,
ENDELEA KUTAFUTA KWA NJIA YA HALALI, UTAFIKA MBALI.
SIO KAMA HIZI TAKATAKA ZINGINE ZA HUKO MJINI
 
Ubaya unakuja pale ambapo mafanikio aliyonayo yatatumika kukejeli agement wenzake na kuanza kutuambia sisi majobless tutafute hela kumbe yy behind the scene ana folder nyingi
Kwani haiwezekani kapata promotion kwasababu ya mvuto wake uliompa followers wengi mtandaoni?

Huo ni ubaguzi wa kijinsia ndugu yangu acha.
 
Leo yuko hapa around ofisini, kweli ni binti mdogo sana kwa umbo

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Huyo dogo anajitahidi ameibrand kimasikhara sana hilo bus ningeshangaa kama boss asingemmotivate huyo binti jaman..
Personality yake na muonekano ndio imemkuza sana.

Watu wanafurahia uzuri wake na heshima yake katika kazi yake.

Ila kuna wanaume mafisi wako rada Kuna target wana aim...

Na yeye kashatambua hilo.
 
All in all,
Kuna binadamu wana damu safi mm ni mmoja wao (devil's inclination)

Mm nikikaa sehemu yeyote nikishika chochote kinafanikiwa
ASANTE SANA MWENYEZI MUNGU BILA CHALE WALA HIRIZI MUNGU WATOSHA.......

Benediction_August Alsina ft Rick Ross
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…