Another Oddity from Failed State Tanzania

Sasa mbona mldc kunyaland failed state mnapewa misaada ya chakula karne hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Counties 24 zinateseka kwa kukosa chakula,
Kila mwaka mnapewa misaada ya chakula,
Slum kila kona yaani ukitizama Google Map unaona slums kila kona.
M mwenyewe nimeshangaa...nyumba ya ksh1000 kwel...tena katika jiji kuu...
Hii ni ya 90s mkuu...unawaonea bure
Hio inaonyesha kwamba Tanzania bongolala ni LDC ambayo haiwezi saidika. Aibu iliyoje.
Angalia nchi zote tajiri, kisha uangalie rent zake kwenye city zao.
Tanzania inakimbizana na South Sudan, Burundi na Somalia kwenye uchache wa pesa ya rent.
Je cape town au jorbug utasemaje....
Mbna vitu siku vinabadilika kulingana na hatua nchi inayopiga...
Kweli kabisa...km mtu ywalipa rent elfu saba kw mwezi na hana kazi ya maana...si akienda bongo si atajiona tajiri
Mkenya wa kawaida ana mshahara mara tatu ya Mtanzania.
 
Lakini nan anafurahia maisha kwa unafuu!?



Tanzania hata hamna magari ili mlie bei ya mafuta.
Gharama ya maisha iko juu Kenya, kwa sababu standards za maisha ziko juu.

Hosptali - standards juu, gharama juu.
Masomo - standards juu, gharama juu.
Magari, wengi Kenya wanayo, pesa ya mafuta watahitaji.
etc.

Tanzania ni exact opposite ya hayo yote.
 
Wakenya wa karne hii ni majanga [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Please say that again..
I think it pains you?
Night
 
Endeleeni na mabwana zenu wakati best President kwa Africa ni magufuli kwa sasa,
Wakenya wengi wanamkubali na kutamani kupata kiongozi kama Magufuli.
Endelea kuficha kichwa mchangani.. [emoji23] [emoji23]
Ulimwengu mzima unajua Makufuli ni dikteta.

View attachment 1216861View attachment 1216862View attachment 1216863View attachment 1216864View attachment 1216865
Keep talking about past news to satisfy yourself,
Wakati Hapo kwenu ukabila ni current news [emoji23][emoji23][emoji23]
Warudishine coz mliwaleta ninyi.
Basi wakujieni hawa omba omba wenu muwarudishe kwa nchi ya maziwa na asali.
Tanzania umaskini umejaa, mpaka Kenya ndio greener pastures yenu.
Huo ndio ukweli that's why ukaquote.
Please say that again..
I think it pains you?
Night
Ukabila uwedumaza akili [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu..hta usijisumbue na huyo dogo...
Kenya ndio nchi inayowatax raia wake tax kubwa na za ovyo ovyo,
Ndio maana wananchi wa Kenya wanalalamika maisha magumu na kukimbia nchi yao,
Katika wakenya 10 basi 7 wanatamani kuhama kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa kazi tu.
Hawa jamaa hawajielewi...wanafikiria development huja kiulaini hvo...
Km hv wakati wa magufuli kaongeza tax kiasi wanpiga kelele
 
Hii ndio high standards !!!

 
Vile vile inakuja kw kenya na tanzania...
Nadhani umenielewa...vinginevyo itakua kiburi tu..
Hakuna cha kiburi wala nn.
SA hawana maisha mbovu km ninyi.
Wakenya mna hali mbaya ninyi bakini kujivunia majengo hayo ma sky scrapers ilhali raia wengi mmepanga daily mnawaza ulipaji kodi.
 
Paying rents ni normal sana...hta kw first world countries watu wamekodi na wanishi poa tu...

Anyway...kiburi tu huna lolote
Hakuna cha kiburi wala nn.
SA hawana maisha mbovu km ninyi.
Wakenya mna hali mbaya ninyi bakini kujivunia majengo hayo ma sky scrapers ilhali raia wengi mmepanga daily mnawaza ulipaji kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…