babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Sasa mbona mldc kunyaland failed state mnapewa misaada ya chakula karne hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Counties 24 zinateseka kwa kukosa chakula,
Kila mwaka mnapewa misaada ya chakula,
Slum kila kona yaani ukitizama Google Map unaona slums kila kona.
Counties 24 zinateseka kwa kukosa chakula,
Kila mwaka mnapewa misaada ya chakula,
Slum kila kona yaani ukitizama Google Map unaona slums kila kona.
M mwenyewe nimeshangaa...nyumba ya ksh1000 kwel...tena katika jiji kuu...
Hii ni ya 90s mkuu...unawaonea bure
Hio inaonyesha kwamba Tanzania bongolala ni LDC ambayo haiwezi saidika. Aibu iliyoje.
Angalia nchi zote tajiri, kisha uangalie rent zake kwenye city zao.
Tanzania inakimbizana na South Sudan, Burundi na Somalia kwenye uchache wa pesa ya rent.
Je cape town au jorbug utasemaje....
Mbna vitu siku vinabadilika kulingana na hatua nchi inayopiga...
Kweli kabisa...km mtu ywalipa rent elfu saba kw mwezi na hana kazi ya maana...si akienda bongo si atajiona tajiri
Ukubwa wa gharama unaonyesha utajiri wa nchi.
Hata USA utapata wananchi wa huko wakilalamika kwamba wages zao ziko chini.
Hakuna nchi yoyote utawahi pata wananchi wakisema wametosheka na pesa.
Tanzania ni LDC. Mishahara yenu ni LDC. Gharama zenu za maisha ni LDC.
Mkenya wa kawaida ana mshahara mara tatu ya Mtanzania.