Another Oddity from Failed State Tanzania

Rudia tena
 
Alikamatwa for fraud bcoz of tala. They are out now. And he is free na wameshailipa serikali, wanaendelea na kazi
 
Paying rents ni normal sana...hta kw first world countries watu wamekodi na wanishi poa tu...

Anyway...kiburi tu huna lolote
Nadhani hata maana ya kiburi hujui.
Ndio upumbavu sasa kujisifia unalipa kodi kubwa kunizidi ilhali mm naweza rent house km yako kwa kodi ya robo unayolipa.
Nani kwao kuna unafuu wa gharama za maisha ?!!
Sijui unaelewa?!
Hayo mambo ya kiburi sijui yameingiaje na hayo mambo ya sina lolote sijui yameingiaje !!
Ilhali hatujuani.
 
Mbna nisikuelewe wakti wewe n mtu na akili zako...
Lkn ujue mjini ni pa kila mtu...na wengi wao wana makwao, so mjini wapo kikazi tu...then pia kw mfano mtu wa kipato cha kati, wengi wao hujenga majumba makwao..
Utakuta mtu mjini ywalipa kodi kumbe kwao ana nyumba nzuri tu, kw sababu ukilinganisha gharama za kujenga nyumba kwao zipo chini kiasi na pia kulingana na kipato chake mjini hatoweza kununua kiwanja na kujenga nyumba ya maana vile kw sababu ni ghali mno...


So si wote wanolipa kodi mjini eti hawamiliki mijengo...
 
Wakenya wenye akili timamu wanafafamu hao omba omba ni mradi wa wakenya huko,
Ila mjinga anayependa kubishana ujinga kama wewe utatumia ili ujazie argument yako, jifunze kusoma vitabu ili upate maneno ya kutumia kwenye argument [emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi kuhusu hawa majambazi wenu waliojaa kwenye magereza yetu huku.
 
Ndio ungeongea sasa sio kuleta mipasho bro.
Kwa huku Dar hata mjini kumiliki nyumba si ghali sana.
Ndio maana watu wanajenga kiholela kwasababu gharama za kujenga hadi mjini ziko kawaida.
 
Ndio ujue Tz life ni easy hauumizi kichwa kama kwenu huko.
Yani hiyo 25000 ongeza 15000 yani 40,000Tsh unapata sehem ya kupanga na ina mpk maji ndani kigamboni.
Na nzuri fresh.
Ila sio kenya.
Maisha ghali then magumu.
Just shows the low level of incomes, cheap standards. Just some cheap "dream houses" with no sewer and other social services..
 
Siku zote mtoa mada tambua kuwa mpumbavu huona mabaya mazuri haoni
 
Hilo la kujenga kiholela ni mbaya sana, cz ukiangalia dar wengi hzo nyumba wanazimiliki..so kumuondoa ni ngumu sana...
Thats why serikali inapata wakati mgumu sana kufanya uamuzi wa haraka...

Angalia km nairobi..karibia slums zote ni ardhi ya serikali..sidhani km kuna mtu ana hati ya yale maeneo...tatizo wansiasa wetu huweka mbele sana kura...mdo manake hata kuwa evict ni ngumu..
Wacha kura pekeake,hata human rights wataingilia kati...unaweza kuleta vita nakwambia...
 
Sasa kwanini msiwajengee angalau nyumba za kawaida tu mtoe hizo za mabati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…