komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Rudia tena
Endeleeni na mabwana zenu wakati best President kwa Africa ni magufuli kwa sasa,
Wakenya wengi wanamkubali na kutamani kupata kiongozi kama Magufuli.Keep talking about past news to satisfy yourself,
Wakati Hapo kwenu ukabila ni current news [emoji23][emoji23][emoji23]Warudishine coz mliwaleta ninyi. Huo ndio ukweli that's why ukaquote. Ukabila uwedumaza akili [emoji23][emoji23][emoji23]Kenya ndio nchi inayowatax raia wake tax kubwa na za ovyo ovyo,
Ndio maana wananchi wa Kenya wanalalamika maisha magumu na kukimbia nchi yao,
Katika wakenya 10 basi 7 wanatamani kuhama kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa kazi tu.