Ansante sana baba @mshana jr

Ansante sana baba @mshana jr

Ha ha ha ha ha haya maneno asiyasikie Don hapo chini kumbe ukijitahid sana ni mwezi mmoja...

Ngoja nitautafuta huo uzi then ntakupa tag moja ya kibingwa...

Sent using Jamii Forums mobile app

Hesabu ya kifurushi inakuja halafu inapotea, naona chenga kama DSTV inavyoonesha mvua ikiwa inanyesha. Sasa sijui 30 imefika!
 
Nilikuwaga na Tatizo la kunuka miguu ...kunuka viatu .. nilishawahi kulala lodge nikaacha viatu nje,vikaibiwa [emoji32]... NILIKUJA KUONA USHAURI WA MSHANA JR KUHUSU KUNUKA MIGUU ...AISEE NIKAFUATA JINSI ALIVYO ELEKEZA .... Ndo ikawa pona yangu ...sina Hilo Tatizo tena .......MSHANA JR MUNGU AZIDI KUKUPA HEKIMA NA MAARIFA ZAIDI ILI UPATE KUSAIDIA WENYE UHITAJI .... SHUKRANI SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nilikuwaga na Tatizo la kunuka miguu ...kunuka viatu .. nilishawahi kulala lodge nikaacha viatu nje,vikaibiwa [emoji32]... NILIKUJA KUONA USHAURI WA MSHANA JR KUHUSU KUNUKA MIGUU ...AISEE NIKAFUATA JINSI ALIVYO ELEKEZA .... Ndo ikawa pona yangu ...sina Hilo Tatizo tena .......MSHANA JR MUNGU AZIDI KUKUPA HEKIMA NA MAARIFA ZAIDI ILI UPATE KUSAIDIA WENYE UHITAJI .... SHUKRANI SANA

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom