K KIMA JEURI JEUSI Member Joined Sep 13, 2024 Posts 39 Reaction score 39 Dec 15, 2024 #41 Kwa miaka 20 ya Mbowe, kitu gani bado hajaifanyia CDM? Apumzike kwa heshima hata Kama anahisi bado wanamuhutaji
Kwa miaka 20 ya Mbowe, kitu gani bado hajaifanyia CDM? Apumzike kwa heshima hata Kama anahisi bado wanamuhutaji
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Dec 15, 2024 #42 Malaria 2 said: Mengi yatajulikana. Mkutano ule uliandaliwa na Msigwa, kwa hivyo elements za ccm zilijitokeza Click to expand... Kile sio kibwagizo Chenye copyright Chakadomoz mna shida sana
Malaria 2 said: Mengi yatajulikana. Mkutano ule uliandaliwa na Msigwa, kwa hivyo elements za ccm zilijitokeza Click to expand... Kile sio kibwagizo Chenye copyright Chakadomoz mna shida sana
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Dec 15, 2024 Thread starter #43 mangichogo said: Hivi mnamjua kiongozi wa chadema aliopokea pesa za Abdul? Lissu akiweka mambo adharani hichi chama kitakufa. Watu acheni mihemko na ili kwenda mbele tukubali mabadiliko Click to expand... Lissu yuko kwenye bwawa la tope, kadri anavyojishika mwilini ndio anazidi kujichafua
mangichogo said: Hivi mnamjua kiongozi wa chadema aliopokea pesa za Abdul? Lissu akiweka mambo adharani hichi chama kitakufa. Watu acheni mihemko na ili kwenda mbele tukubali mabadiliko Click to expand... Lissu yuko kwenye bwawa la tope, kadri anavyojishika mwilini ndio anazidi kujichafua
T Twoten JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 2,052 Reaction score 2,163 Dec 15, 2024 #44 Sina mashaka na Lissu hata kidogo
M Missile of the Nation JF-Expert Member Joined May 24, 2018 Posts 15,101 Reaction score 56,054 Dec 15, 2024 #45 Sasa Ngrumo naye anakosa hoja. Ni Lissu ndiye aliyeeimba tuna Imani na Lissu au ni wanaomkubali walioimba tuna Imani na Lissu? Bora kuimbiwa kibwagizo cha hivyo kuliko kuhongwa na Abduli
Sasa Ngrumo naye anakosa hoja. Ni Lissu ndiye aliyeeimba tuna Imani na Lissu au ni wanaomkubali walioimba tuna Imani na Lissu? Bora kuimbiwa kibwagizo cha hivyo kuliko kuhongwa na Abduli
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Dec 15, 2024 #46 Benjamin Gerson Mendy ndio muanzilishi wa wimbo huu enzi za Mwalimu na TANU Nakumbuka tumeuimba sana Tuna Imani na Nyerere, Tuna Imani na Kawawa
Benjamin Gerson Mendy ndio muanzilishi wa wimbo huu enzi za Mwalimu na TANU Nakumbuka tumeuimba sana Tuna Imani na Nyerere, Tuna Imani na Kawawa
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 14,244 Reaction score 10,073 Dec 15, 2024 #47 Kati ya vyote aliongea Lissu umeona kibwagizo tu ndio ishu? Watanzania tunapenda kuchagua maneno yale tunaona na kuyapenda sio vinginevyo.
Kati ya vyote aliongea Lissu umeona kibwagizo tu ndio ishu? Watanzania tunapenda kuchagua maneno yale tunaona na kuyapenda sio vinginevyo.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Dec 15, 2024 Thread starter #48 misasa said: Kati ya vyote aliongea Lissu umeona kibwagizo tu ndio ishu? Watanzania tunapenda kuchagua maneno yale tunaona na kuyapenda sio vinginevyo. Click to expand... Usinipangie
misasa said: Kati ya vyote aliongea Lissu umeona kibwagizo tu ndio ishu? Watanzania tunapenda kuchagua maneno yale tunaona na kuyapenda sio vinginevyo. Click to expand... Usinipangie