Ansbert Gurumo ahoji kwa nini Lissu atumie kibwagizo cha CCM wakati akitangaza kugimbea uenyekiti "tuna imaniii.... na Lissu... Oyaa... "

Ansbert Gurumo ahoji kwa nini Lissu atumie kibwagizo cha CCM wakati akitangaza kugimbea uenyekiti "tuna imaniii.... na Lissu... Oyaa... "

Hivi mnamjua kiongozi wa chadema aliopokea pesa za Abdul? Lissu akiweka mambo adharani hichi chama kitakufa. Watu acheni mihemko na ili kwenda mbele tukubali mabadiliko
Lissu yuko kwenye bwawa la tope, kadri anavyojishika mwilini ndio anazidi kujichafua
 
Sasa Ngrumo naye anakosa hoja.

Ni Lissu ndiye aliyeeimba tuna Imani na Lissu au ni wanaomkubali walioimba tuna Imani na Lissu?

Bora kuimbiwa kibwagizo cha hivyo kuliko kuhongwa na Abduli
 
Benjamin Gerson Mendy ndio muanzilishi wa wimbo huu enzi za Mwalimu na TANU
Nakumbuka tumeuimba sana
Tuna Imani na Nyerere, Tuna Imani na Kawawa
 
Kati ya vyote aliongea Lissu umeona kibwagizo tu ndio ishu?

Watanzania tunapenda kuchagua maneno yale tunaona na kuyapenda sio vinginevyo.
 
Kati ya vyote aliongea Lissu umeona kibwagizo tu ndio ishu?

Watanzania tunapenda kuchagua maneno yale tunaona na kuyapenda sio vinginevyo.
Usinipangie
 
Back
Top Bottom