KIMA JEURI JEUSI
Member
- Sep 13, 2024
- 39
- 39
Kwa miaka 20 ya Mbowe, kitu gani bado hajaifanyia CDM?
Apumzike kwa heshima hata Kama anahisi bado wanamuhutaji
Apumzike kwa heshima hata Kama anahisi bado wanamuhutaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kile sio kibwagizo Chenye copyrightMengi yatajulikana. Mkutano ule uliandaliwa na Msigwa, kwa hivyo elements za ccm zilijitokeza
Lissu yuko kwenye bwawa la tope, kadri anavyojishika mwilini ndio anazidi kujichafuaHivi mnamjua kiongozi wa chadema aliopokea pesa za Abdul? Lissu akiweka mambo adharani hichi chama kitakufa. Watu acheni mihemko na ili kwenda mbele tukubali mabadiliko