Tetesi: Ansbert Ngurumo: Makonda anatafutiwa ubalozi



Huo ndio utaratibu na ndivyo inavyofanyika mkuu. Sijaona haja ya kubishana sana. Nchi husika lazima iridhie kumpokea balozi au muwakilishi wa mashirika kama UN na mengine.
 
Weeee usilete ushoshezi(sijakosea) anayetakiwa kukosea kwa jaribio la kuidanganya serikali kwa lengo la kukwepa kodi ni Makondakta tu alaaa
 
Ansbert nlishamuona miyeyusho baada ya kutulisha matango yake kuhusu tanzanite na ukuta wa mireran

N mbea mbea fulan hivi kama sio mshakunaku yan
 
Ansbert nlishamuona miyeyusho baada ya kutulisha matango yake kuhusu tanzanite na ukuta wa mireran

N mbea mbea fulan hivi kama sio mshakunaku yan
Wee piga porojo hapa kisha utupiwe kipande cha Fulana yakijani ukaringishie kwenu Huku dab na wahuni wenzie wakigawana rasilimali za Nch
 
Wamkubali jamani hata kwa kutumia wakalimani
 
Hata wakati wa mjadala wa gesi ya Mtwara mlikuwa mnasema hivo kwamba wapinzani siyo wazalendo na wazushi. Leo jiwe analialia tu kwamba gesi imechukuliwa na wakubwa.
Wameanza kukimbia kivuli chao wenyewe
 
C ampeleke Iraq, Syria au Afghanistan???.. Akikosa huko ampeleke hapo kwa ndugu zetu Somalia... Very simple
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Umesahau Yemen , na Libya,Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…