Ansbert Ngurumo na Dkt. Minja mubashara kwenye Al Jazeera

Sasa kwa hapa nchini ulitaka wamhoji yule daktari kichaa wa nyungu? Hivi ni nini hasa utakipata kutoka kwa mtu kama yule cha maana?
 
Mbona Bongo hakuna Vita,Nini kimemkimbiza!? Au ni Mkimbizi wa Kiuuchumi!?
Ben, Azory, Aliyekuwa mwenyekiti Halmashauri Kigoma, ,,,,, wako wapi? Unawajua - mwenyekiti wa CDM aliyekatwa na chainsew na wapenzi wa CCM? Unamjua Diwani kupitia CDM aliyeuawa kwa mapanga Kilombero? Unamjua Diwani kupitia CDM Dar aliyekuwa akishiriki kwenye kampeni maiti yake ilitupwaufwekweni mwa bahari.

Jamani unatiki,. Achane ushetani. CCM Ni wauaji. Siyo chama ambacho mwenye Roho wa Mungu anaweza kujiunga. Kule wamejaa mawakala wa shetani.

Mlitaka abakie hapa TZ ili mmpoteze Kama mlivyopoteza wengine? Hata Kama tutatofautiana vipi, heshimuni uhai wa binadamu wenzenu. Ujue unapounga mkono mauaji, wewe ni sehemu ya wauaji. Mungu awalaani kama alivyomlaani Baba yenu Lucifer.
 
Nani amuwe huyo Nyoka wa kibisa,hana madhara yoyote Yale kwa Taifa,sema anajishutikia tu na kutaka attention na huruma kutoka kwa Wafadhili wake!!
Kwa hiyo huwa mnawaua watu wa namna gani?
 
Hapo kuna mambo mawili
2. Sheer negligence.

3. Au huenda hawana upeo mkubwa kama tunavyowadhania
 
True!
 
Naomba ufafanuzi wa kuandika Mungu kwa kutanguliza herufi ndogo na kuliweka kwenye single quote (' ')
Huyo ni 'mungu' wa baadhi ya watu wanaomwamini 'mungu' wao; siyo universal "Mungu" anayeaminiwa na dini zinazotambulika duniani.
 
the doctor from Atlanta Georgia claims that the variant in Tanzania is the new strain....

such a preposterous musing from a person who doesn't know jack squat about what's going on in the country
Do us a favor, "what's going on in the country"?

Disprove the doctor's "claims that the variant in Tanzania is the new strain..."; otherwise yours would be greater "preposterous musings" than the doctor's!
 
Hahahaaa.

Hivi kuna wanaodai serikali imewazuia kuvaa barakoa?
Apana. Ila wanasifiwa sana ambao hawajavaa barakoa, ni hilo tu, mkuu hakuna jingine.

Yaani kama hukuvaa barokoa basi unaonekana una imani kali ya Kuamini ulinzi wa Mungu
**************************
Ajabu sana kwenye condom wanasifiwa na kuonekana wanajali wanaovaa, hatujasikia eti condom zina vidudu na blah blah blah nyingine.
 
Kama uliyemjibu hakuelewa maelezo haya...;

Hapana, inabidi ni-'rephrase' nilichotaka kuandika hapo juu.

Umempa maelezo mazuri sana juu ya wajibu wa serikali (ikiwa ni pamoja na Rais) kwa wananchi wake wote.

Sio swala la "wenye akili" pekee kutumia akili zao bila kutegemea serikali kujikinga; ni swala la wananchi wote kushirikishwa ndipo ufanisi upatikane.

Lakini naelewa hata baada ya maelezo sahihi kama yako, mbishi mara zote ni mbishi tu!
 
Apana. Ila wanasifiwa sana ambao hawajavaa barakoa, ni hilo tu, mkuu hakuna jingine.

Yaani kama hukuvaa barokoa basi unaonekana una imani kali ya Kuamini ulinzi wa Mungu
Wanasifiwa sana na nani?
 
Hapo kuna mambo mawili
2. Sheer negligence.

3. Au huenda hawana upeo mkubwa kama tunavyowadhania
Mbona mambo yako wazi kabisa:

Corona ilipoanza na wizara kufuata taratibu zilizoelezwa na WHO, kila mahali watu walifuata maelekezo waliyopewa, bila kujali "walio na upeo" au la. Maji tiririka, sabuni, barakoa, misongamano, n.k.

Ni nini kilichobadilika baada ya hapo na watu kuanza kuwa na makundi ya "wenye upeo na wasiokuwa na upeo"?

Mapapai, mbuzi, oil chafu vilipoonyesha kwa na corona na kampeni iliyofuatia havikuwa na mchango wowote katika hili?

Kauli za kiongozi mkuu na kujitangaza kutokuwepo na ugonjwa huo, havikuchangia uwepo wa haya makundi?
 
Wanasifiwa sana na nani?
Your browser is not able to display this video.

Ona mtu anashukuriwa kwa kutovaa barakoa

Alimshangaa jaji Mihayo na mkewe kuvaa barakoa

Anamsifu Padri kwa kutovaa barakoa

Kiufupi anachanganya mambo mpaka anawachanganya watu

At one time unaweza kumtafsiri kama yuko against Barakoa za nje tu, but wakati mwingine anazipinga madongo barakoa as barakoa.

Kiufupi anawachanganya watu!
 
Ni kweli!

Kwenye PR ya hili janga, jamaa anachemka sana.

Nakubaliana na observation yako.

Ndo maana nimependekeza watu waanze kumpuuza tu.
 
Kwa kifupi hataki mtu yoyote avae barakoa. As simple as that. Nahisi hata waziri akivaa akaingia nayo kwenye kikao anaweza kumtumbua. Mawaziri na wasaidizi wake wengi hawavai barakoa kwa kumwogopa. Huu ni ujinga. Watu wanaweka rehani uhai kwa sababu ya vyeo. Uliona ile katuni ya Kipanya kuna ''waziri'' yuko kwenye duka la dawa anauliza kama kuna barakoa ambayo akivaa haiwezi kuonekana? Basi ndiyo ukweli ulivyyo kwa wateule wote wa Magufuli. Wanalalamika kichini chini tu hasa wwenye umri mkubwa.
 
Maswaliwali muhimu ni: anataka nini hasa. Ana lenga kupata nini juu ya msimamo wake huu?
 
Asivae yeye kama hapendi au hataki.

Na aache kuwanyanyapaa wanaovaa. Ni haki yao kuzivaa kama wanataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…