Kipindi ni The Stream.
Kinaongozwa na Femi Oke.
Wageni ni Ansbert Ngurumo, akiwa yupo Stockholm, Sweden na Dkt. F. Minja, kutokea Atlanta, GA, USA.
Mazungumzo ni kuhusu madai ya Rais Magufuli kuhusu COVID-19.
Dr Minja Habari!! Nimewasikiliza mazungumzo yenu vizuri Sana. Mnatakiwa muelewe kuwa wizara ya afya na Rais wetu wamejitahidi sana kupambana na Covid. Tanzania ni nchi masikini. Haiwezi kufunga shughuli zake.Tutakufa njaa na tutafiriska.Aidha tusimsingizie Rais na serikali kuwa wanawapotosha watu. Hii issue kwa jinsi dunia inavyokwenda inafika mahali inabaki issue ya mtu binafsi. Wamekufa watu wakubwa. Je, na wao walishindwa kuchukua hatua? Hapana ni issue zao binafsi kushindwa kujikinga.Tusilaumiane.Wanaokufa marekani ni wengi kuliko wanaokufa Tanzania. Why Tanzania?