Ansbert Ngurumo na Dkt. Minja mubashara kwenye Al Jazeera

Ansbert Ngurumo na Dkt. Minja mubashara kwenye Al Jazeera

Kuna kiumbe anaitwa brazaj sijui Magufuli kamkosea nini yaani anaweza fungua nyuzi tano kwa mkupuo zote kulalamika.
Anyway tuchukue tahadhari na kuwa watulivu
brazaj ni agent wa Billgate Yuko kazini!!
 
Rais Magufuli kakosea sana kwenye suala la PR kwa kudai COVID-19 haipo nchini.

Huwezi kudai kitu hakipo, hususan ugonjwa unaosababishwa na ki/virusi [ambavyo havionekani], bila ushahidi.

Rais Magufuli ni mwanasayansi wa wapi yeye?

Mimi bado naamini C-19 si kali wala hatari kama inavyotangazwa, lakini hiyo haina maana watu wasichukue tahadhari, hususan wale walio medically fragile.
Tumia akili zako. Jikinge mwenyewe. Usisubiri uambiwe na Magufuli.
Ua always smart lakini hapa utaletewa ubishi ambao hauna tija yoyote....

In most cases COVID-19 ipo Tanzania na sehemu zingine duniani, its not that much dangerous to all of us except to those with other infections.

Kusema Haipo bila ushahidi na wakati dunia inaprove kuwepo ni ' 'UJINGA''
 
Ni kweli , hii ni baada ya kunusurika kuuawa nchiin Tanzania
Nani amuwe huyo Nyoka wa kibisa,hana madhara yoyote Yale kwa Taifa,sema anajishutikia tu na kutaka attention na huruma kutoka kwa Wafadhili wake!!
 
Ua always smart lakini hapa utaletewa ubishi ambao hauna tija yoyote....

In most cases COVID-19 ipo Tanzania na sehemu zingine duniani, its not that much dangerous to all of us except to those with other infections.

Kusema Haipo bila ushahidi na wakati dunia inaprove kuwepo ni ' 'UJINGA''
Ninyi huwa wapumbavu sana,mtu akimlaumu rais tu ndio smart?
 
Mbona Bongo hakuna Vita,Nini kimemkimbiza!? Au ni Mkimbizi wa Kiuuchumi!?
watu "wasiojulikana" wanaojulikana walitaka kumteka, kisa kumkosoa mungu wa chatoo!.
angebaki nchini pia yangeweza kumtokea yale ya Lisu...pu pu puu puuu!!!.
 
Magufuli keshapotea njia, anakiri wasaidizi wake huwa hawavai mask wakiwa karibu naye kwasababu wanajua yeye hapendi kuzivaa, kumbe hao wasaidizi wake wakiwa mbali naye wanazivaa barakoa vizuri tu, hii ni sawa na kamanda wa vita kuongoza kundi la wapiganaji wake ambao hawamuamini, hiyo vita lazima ashindwe.
Kashapata chanjo huyu mzee
 
Hawa Aljazeera ni wanafiki na wapuuzi, wanapaswa kupuuzwa kama ukoma.

Mwaka jana walionyesha video za watu wanazikwa usiku wakadai ni Tanzania. Wakamhoji Mbowe akadai watu elfu 30-40 wanakufa kwa siku.

Leo wanamhoji mkimbizi uchwara yupo Sweden. Anajua maisha ya Buza,Tandale na Tandaika?

Kama Tanzania imefikia hatu anayodai kwa umaskini wa Tanzania hali ingekuwa hivi tunavyoona?
Ndg yangu toka Corona imeanza,siku hizi Tanzania ziko mbili! Kuna Tanzania inayosemwa mitandaoni,na kuna ile Tanzania halisi iliyotulia! Tanzania ya mitandaoni inatisha sana,yaani Watu wanakufa kila siku,naona hadi mwezi ujao Tanzania ya mitandaoni watu wote watakua wamesha kufa na Corona! Ila ukija kwenye Tanzania halisi,watu wako busy na Maisha yao Kama kawa! Kwa hiyo kazi kwako unachagua Tanzania gani unayopenda wwe! Tanzania halisi au Tanzania ya mitandaoni!?
 
Ansbert Ngurumo yupo ukimbizini huko Sverige?
Wewe ni BONGOLALA mkubwa,so akiwa mkimbizi anakuwa amepoteza haki ya kuongea?

Kukosoa??

Kujenga hoja???

Na no nani aliyesababisha yeye kukimbia nchi?????🤨🤨🤨

kweli UJINGA NI MZIGO😃😃🤣🤣🤣
 
Wewe ni BONGOLALA mkubwa,so akiwa mkimbizi anakuwa amepoteza haki ya kuongea?

Kukosoa??

Kujenga hoja???

Na no nani aliyesababisha yeye kukimbia nchi?????🤨🤨🤨

kweli UJINGA NI MZIGO😃😃🤣🤣🤣
Anapoteza sifa kwa sababu anaongelea Mambo ambayo hana taarifa nazo ni Kama umemsoma mdau hapo juu kwa sasa tuna Tanzania mbili ya mtandaoni na halisi. Hiyo ya mtandaoni inatisha hata wewe hutatamani kuishi ambayo ndio inahadithiwa na kunadiwa na kina ngurumo .

Sasa kwanini aeneze habari zisizo sahihi eti kisha yeye ni mkimbizi wa nchi yenye amani
 
Dr Minja kiufupi anasema kwamba kule US ambako yeye anafanya kazi, ni njia tatu hasa, kabla ya chanjo, ambazo wameona zikifanya kazi vizuri - uvaaji wa barakoa, kuzuia mikusanyiko na kunawa mikono. Ukifanya mambo haya matatu, ndani ya wiki 3 unaona mabadiliko.

Minja pia ameeleza kuwa kimojawapo ambacho kimechangia wimbi kubwa la maambukizi na vifo, ni mikutano ya kampeni ambayo ilikuwa ikikusanya maelfu ya watu. Tangu mwezi ule wa 10, kilifuata kipondi cha incubation. Matokeo yameanza kuonekana kuanzia December 2020.

Ansbert anaeleza kuwa Rais amekuwa mzito kukiri tatizo kutokana na kauli zake za mwanzo kuwa Tanzania hakuna corona. Sasa hivi anakubali taratibu, lakini kwa kuzunguka. Wananchi tuongeze pressure kwa Rais ili serikali itimize wajibu wake haraka na siyo kuzidi kuchelewa.

Dr Minja anasema, kwa Tanzania, maamuzi hayafanywi na Serikali, ni Rais Magufuli pekee yake. Akisema kuwa kesho watu wote wahakikishe wamevaa barakoa, watu si chini ya milioni 6, watavaa. Na hilo likitokea, tutakuwa tumeokoa maisha ya watanzania wengi.

Jamani haya kweli yanatushinda? Na kwenye barakoa kasema haijalishi Ni barakoa za kitabibu au kutengenezwa Hilo mitaani.

Tuzidi kupaza sauti haya matatu angalao yafanyike. Serikali iyasimamie, isiendelee kuwapotosha watu.
Kwamba uchaguzi umechangia maambukizi hizi ni sababu za kihayawani, Marekani hawakufanya uchaguzi?

Waseme ukweli walibuni liugonjwa likawafyeka wenyewe wakagundua halitudhuru wakarudi maabara, wakatangaza tujiandae na Covid Part II, Kama uchaguzi ndio ulituahidi tujiandae sawa

Mnasema Magufuli anakataza tusivae barakoa, alikataza lini? Yeye anasema tuvae za kwetu

Hapo napo mtalalama mkitaka tuachane na zetu tuvae za mabwana zenu

Poleni na kazi
 
Mambo hadharani, wanaokana uwepo wa Covid-19 Tanzania wanazidi kuumbuka.

Kubwa zaidi jumuiya ya ulimwengu wanaifuatilia Tanzania kwa ukaribu kuhusu hatua gani zitachukuliwa kuudhibiti ugonjwa huu na dunia pia maana Tanzania siyo kisiwa.

Mbinyo unazidi kuongezeka toka serikali za zinazotupa misaada, taasisi za kimataifa na sasa media kubwa kubwa ulimwenguni na mitandao ya kijamii isiyo na mipaka wote wameungana kuwa pamoja kuifuatilia serikali ya Tanzania inavyopambana na Covid-19 kwa njia zake ambazo dhahiri zinaonesha zimefeli ktk msimu huu wa wimbi la pili ya Covid-19 ilitojinyumbua yenye makali kuliko ile ya 2020.

Kazi kwenu serikali ya Tanzania na wizara ya afya ije na mkakati wa kueleweka na dunia kupambana kisayansi na Covid- 19 Toleo 2021.
Waendelee tu kutufuatilia, tulikuwepo tutaendelea kuwepo
 
Statement ya JPM kuhusu namna anavyo shughulikia Covid-19 imemchafulia sana Image yake Nje.

Mungu asaidie, but otherwise watakaobaki hai baada ya janga hili watamwandikia kitabu kumsimulia(Bad side of him)
Usiogope.!! Corona phase 1 ilikuwa zaidi ya haya wanayoongea sasa ila kwa imani alishinda na sasa ni hivohivo na tayari tunaenda kuishinda
 
Usiogope.!! Corona phase 1 ilikuwa zaidi ya haya wanayoongea sasa ila kwa imani alishinda na sasa ni hivohivo na tayari tunaenda kuishinda
Huu usanii wa maombi uliofanyika sasa una lengo moja tu, muda wowote kuanzia sasa itakuwa ni marufuku kutangaza habari za misiba, na hata ikitangazwa itapotoshwa kuwa ni magonjwa mengine, itafuatiwa na taarifa za mara kwa mara za kipropaganda kuwa kuwa corona imeondoka baada ya maombi, kama hapo awali. Lengo hasa la upotoshaji huo wa propaganda za kimfumo, ni kuifanya serikali isiwajibike kwa utoaji wa fedha kununulia vifaa tiba, na mahitaji mengine ya muhimu katika kupambana na ugonjwa huu, kwani kimsingi serikali hii inajali vitu kuliko watu.
 
Na mtegemea MUNGU uwa hashindwi
Magufuli keshapotea njia, anakiri wasaidizi wake huwa hawavai mask wakiwa karibu naye kwasababu wanajua yeye hapendi kuzivaa, kumbe hao wasaidizi wake wakiwa mbali naye wanazivaa barakoa vizuri tu, hii ni sawa na kamanda wa vita kuongoza kundi la wapiganaji wake ambao hawamuamini, hiyo vita lazima ashindwe.
 
Tanzania Corona haipo! Kuvaa barakoa na kutumia njia nyingine za kujikinga ni alama ya kutokuwa na IMANI kwa 'mungu'.
Naomba ufafanuzi wa kuandika Mungu kwa kutanguliza herufi ndogo na kuliweka kwenye single quote (' ')
 
Anapoteza sifa kwa sababu anaongelea Mambo ambayo hana taarifa nazo ni Kama umemsoma mdau hapo juu kwa sasa tuna Tanzania mbili ya mtandaoni na halisi. Hiyo ya mtandaoni inatisha hata wewe hutatamani kuishi ambayo ndio inahadithiwa na kunadiwa na kina ngurumo .

Sasa kwanini aeneze habari zisizo sahihi eti kisha yeye ni mkimbizi wa nchi yenye amani
UMEANDIKA "UJINGA " na umeshindwa kujibu swali la msingi.

Nini cha uongo kati ya vitu alivyoongea hapo???

Nyie ndo watu. Mliotia "AKILI " mfukoni....
NIKUPONGEZE KWA KUCHAGUA "ujinga"
 
Back
Top Bottom