Unafanya makosa kudhani raia wote wana upeo, information, seriousness katika hii pandemic kama yako!. Watu wa aina hii inabidi wasukumwe wachukue measures fulanifulani kwa ajili ya usalama wa wengine, ni sawa na kwenye kipindupindu, nguvu huwa inatumika sometimes kulazimisha usafi wa watu ili kuwanusuru wengi waliobaki.
Kwa hiyo ishu ya barakoa ikiwa enforced kilazima kwenye public basi watakaozivaa watanusuru maisha ya wengi, yao na ya wengine wanaowazunguuka, maana chafya moja ya wenye covid inaweza kuambukiza wengi.
So unapofikiria kuvaa barakoa, usifikirie kujilibda wewe tu usiipate, bali fikiria kuwa unazuia covid kusambaa kutoka kwako kwenda kwa wengine!
Usipoenforce measures fulanifulani kwa nguvu ili Wider public izifuate, basi hao wazee waliofungiwa ndani na kutumia masanitizer kia wakati wataletewa ugonjwa na wajukuu wao wa chekechea waliokwenda shule na kurudi nyumbani. Ukiwa ndani mwako nadhani unaelewa jinsi ilivyo ngumu kujusocial distance na family members maana nyumba zetu unazijua vizuri zilivyo