Njaa ipo kwa Msiba ambaye kajitoa fahamu zote na kutengeneza Uzushi Propaganda za kishamba toka kolomije na chato, Njaa ya msiba ni kichocheo cha kudai Uhuru sasa kwani watanzania wanaenda kuchoka na Propaganda za CCM na wapambe wao wajinga wajinga kama msiba, Uhuru toka kwa wakoloni wasukuma wawili ndugu Maliyamungu idd Amin na Mtukufu malaika toka lazima udaiwe kwa nguvu kubwa pasipo kuchoka.Yote haya ni njaa Kali tu.hakuna uwandishi wa habari wala nini,ni njaa tuu.
Ugonjwa wako huo wa lugha chafu usipotibiwa itakuja siku mwanao atakwambia maneno hayo hayo. Kama wewe ni mtu mzima jitathmini.Mwisho wa siku mnaaibika kweupeee
Omba tu usijifungue mapema ujauzito wako[emoji13] [emoji85] [emoji196]
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
[emoji23]katupiwa majini.
Musiba anatuletea habari na vielelezo (evidence) Sasa hii ya kwako ni kama katiba kwamba tuikubali duuuu
Upinzani wana hali ngumu au WATANZANIA TUNA HALI NGUMU?
Hawa watu wamejaa uovu wa kutisha dhidi ya Watanzania. Sasa sababu za dhalimu Bashite kukingiwa kifua na Mkuu wa kitengo cha watu wasiojulikana nje nje na huyu ndiye mratibu wa shambulizi kali la kutaka kumuua Lissu the Great.
Mwenyezi Mungu inusuru nchi yetu na hili genge la wauaji.
Usiku umekuwa mrefu sana lakini sasa asubuhi imekaribia!huu ujinga kuna siku Mungu wa mbinguni ataweka mambo sawa tu.
Da,hoja siyo mamlaka ya uendeshaji kikao.Bali hoja ni kitu gani kilichojadiliwa.Ni vema kujadili alichoongea ngurumo kama kina ukweli au la!Kikao cha ulinzi na usalama si vikao vigeni kila Wilaya huongozwa DC. ngazi ya Mkoa ni RC ni vikao muhimu hasa kipindi hiki tunakoelekea sikukuu
Ukiona hivyo,ujue kuna watu miongoni mwao hawafurahii yanayoendelea.Baadhi ya viongozi wazito kabisa wanaweza kuhusika.Na mambo haya yakishakuwa hivi hatari inaongezeka zaidi kutokana na kutokuaminiana.Inamaana amezipata hizi taarifa akiwa huko ugaibuni? Kama ni hivyo sasa nihatari,nani amemfikishia taarifa za kikao hicho? Kwa kifupi kuna uvujaji mwingi sana wa taarifa kama ni hivyo,haiwezekani mtu yuko ugaibuni akaqeza kudukua siri za vikao hapa kwetuu
Da,hoja siyo mamlaka ya uendeshaji kikao.Bali hoja ni kitu gani kilichojadiliwa.Ni vema kujadili alichoongea ngurumo kama kina ukweli au la!Kikao cha ulinzi na usalama si vikao vigeni kila Wilaya huongozwa DC. ngazi ya Mkoa ni RC ni vikao muhimu hasa kipindi hiki tunakoelekea sikukuu
Alikuwa Wakwanza kutujuza maazimio ya Kikao kilichoketi (Ukumbi wa BOT) na kuazimia Viongozi wakuu wa CHADEMA wakamatwe wapelekwe mahakamani na kunyimwa dhamana.
Ikatokea exactly sawa na vile alivyoeleza kabla.
Hivyo anafaa kuaminika!
Kupona Inshallah,maana Wapemba (sio wote),wamejaaliwa sayansi ya maajabu na manyau nyau kwa kiwango cha kutisha.[emoji23]
Ni kutokana na akili zenyu mbofumbofu[emoji196] [emoji61] [emoji379] [emoji83]Ugonjwa wako huo wa lugha chafu usipotibiwa itakuja siku mwanao atakwambia maneno hayo hayo. Kama wewe ni mtu mzima jitathmini.