GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Kilichompeleka ng'ambo ndio hicho anachokifanya mkuu. Inavyoelekea ana back up kubwa nyuma yake
Kaa kimya acha wengine tuusomemodeators huu upuuzi umekuwa ukiletwa mara kwa mara unafutwa analeta tena/Unaona kabisa uzushi moderators dont tolerate vitu kama hivi
Ongeza na Evarist ChahaliMange Kimambi, Cyprian Musiba, Ansbert Ngurumo...
Yule jamaa aliyekuwaga msemaji wa Yanga zamani sijui ni nani vile... List naona inazidi kukua tu...
Kikao sio shida ila lengo la kikao[emoji196] [emoji200] [emoji379] [emoji61]Kikao cha ulinzi na usalama si vikao vigeni kila Wilaya huongozwa DC. ngazi ya Mkoa ni RC ni vikao muhimu hasa kipindi hiki tunakoelekea sikukuu
Usikimbilie kumwambia Moderator afute huu uzi,Wache watanzania waamue wenyewe kama haya yaliyoandikwa na Ngurumo ni kweli au uongo wewe sio msemaji wa watanzania wote,....modeators huu upuuzi umekuwa ukiletwa mara kwa mara unafutwa analeta tena/Unaona kabisa uzushi moderators dont tolerate vitu kama hivi
Vipi hali ya m'bunge wetu inarndeleaje..Kikao cha ulinzi na usalama si vikao vigeni kila Wilaya huongozwa DC. ngazi ya Mkoa ni RC ni vikao muhimu hasa kipindi hiki tunakoelekea sikukuu
Huyo Ngurumo ameandika "Makonda aongoza kikao hatari cha maangamizi". Lakini kikao chenyewe eti ni cha ulinzi na usalama wa raia na mali zao, hatari na uangamizi wake ni nini?.Musiba ni mjumbe wa kamati ya Ulinzi na usalama ya Mkoa wa Dar? We have some very hopeless people with hopeless minds. No doubt you are among them.
Mkuu imemuingia vizuri huyu wacha amiminiwe upako[emoji123] [emoji108]umeletwa wapi?
Hii ilishafutwa na wapambe wa bashite bora huyu kidogo ameiachia itiririke kachoka kubiruzwaMods tafadhali msiunge hii thread na nyingine. Hata kama ikija order kutoka juu.
Naona mnakiuka hadi kanuni zenu.
Mnatunyima Uhuru wa kujadiliana hoja mpya
Ulinzi na usalama wa raia na mali zao na pia kujadili masuala ya kiuchumi na kijamii ktk Mkoa.Kikao sio shida ila lengo la kikao[emoji196] [emoji200] [emoji379] [emoji61]
Aaah wapi......this is just a guessing
Kuna baadhi ya mambo ni ya kufikirika unaweza kuyaweka kwenye maandishi yakaonekana ni ukweli kutokana na wakati tuliopo
Mfano
kama ambavyo wengi wetu tunajaribu kumhusisha MBOWE na UPOTEVU wa SAANANE...
Au kuwahusisha CHADEMA NA BAADHI YA MAUAJI
Wakati uovu huu unapangwa rasmi, Rais Magufuli alikuwa kanisani kwenye ibada ya Ijumaa Kuu, “anasali.” Je, naye alibusu msalaba? Kama ndiyo, busu lake lina tofauti gani na busu la Yuda kwa Bwana Yesu – busu la usaliti kwa Watanzania alioapa kuwalinda?
WHAT IF IKITHIBITIKA HUU MUDA PIA MAKONDA ALIKUWA KANISANI?
Me naomba tufatilie ni wapi jana MAKONDA ALISALI...hili tuthibutishe hiki
Ni kweli, hivi moderstors wakiombwa kuthibitidha habari hiyo nao watadai uhuru wao wa kutoa taarifa umeingiliwa?modeators huu upuuzi umekuwa ukiletwa mara kwa mara unafutwa analeta tena/Unaona kabisa uzushi moderators dont tolerate vitu kama hivi
Acha Ufala wewe ni chanzo cha kila kitu? CCM wamezuia mikutano ya siasa, wakakandamiza Demokrasia, wanawabambikia kesi, kuwapiga Risasi, kuwafunga jela chadema na sasa wanamtumia Msiba kutengeneza Uzushi na Propaganda za kishamba shamba na kijinga jinga toka kolomije na chato, kati ya chadema na CCM ni nani anaharibu Aman ya Tanzania? Yaani CCM mnafanya Udikteta kisha mnataka kuwasingizia chadema ambao wanajihami.nyie Bavicha mbona mnataka kuharibu amani ya nchi yetu. Bora nyote mkahama nchi
Acha kujifanya unajua kila kituDuh!.
Ngurumo, Ngurumo, Ngurumo...
Hii ya Ngurumo kali!, yaani wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wanaripoti kwa Ngurumo!...
bora umekimbia! maana...
Hata hivyo, kwenye tasnia ya media, hakuna kitu kama MBM, kilichopo ni waandishi wasio ma mipaka, Journalists San Frontiers
P