Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Wanaume mnadanganyika na namna mtu anavyoongea kwenye kioo cha tv, unazani angekuwa na hizo sifa angekuwa hajaolewa hadi leo? Huyo Mfipa watu washamchovya maisha yanasonga waowaji karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes she is very beautiful, smart, intelligent, charming, friendly and a WIFE MATERIAL.
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app