Antu Mandoza mtangazaji wa tatu mzuka ni moja ya Wasichana wazuri sana

Antu Mandoza mtangazaji wa tatu mzuka ni moja ya Wasichana wazuri sana

Wanaume mnadanganyika na namna mtu anavyoongea kwenye kioo cha tv, unazani angekuwa na hizo sifa angekuwa hajaolewa hadi leo? Huyo Mfipa watu washamchovya maisha yanasonga waowaji karibuni
Yes she is very beautiful, smart, intelligent, charming, friendly and a WIFE MATERIAL.

49701221_133934314220967_5231781526692410312_n.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyo binti ni mchaga au mpare? kama ni mchaga hebu weka picha tuone alivyo kwa nyuma....kama hana chura basi hilo ndio tatizo...... hahahahaha

N:B nitawajibika kwa maoni yangu juu ya Mandoza
 
Antu mandoza wa zamani ndiye alikuwa kifaa. Siku hizi Rangi kaipoteza kabisa. She was slim and nice black beatful skin.
 
Back
Top Bottom